Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne? Kama kariakoo tu ni hivi...
2 Reactions
13 Replies
608 Views
Anonymous
Kumekuwa na tabia ya madereva wa mabasi ya usiku kwenda mwendokasi licha ya abiria kupaza sauti, mabasi yamekuwa yakienda kwa mwendo Kasi Hadi 120km/h speed kitu ambacho ni hatari. Mathalani basi...
2 Reactions
1 Replies
475 Views
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa. Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali...
15 Reactions
143 Replies
5K Views
Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya. Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk Lakini angalieni pia...
12 Reactions
68 Replies
3K Views
Nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ambayo wameendelea kufanya kwenye taifa hili. Ila lengo la andiko hili ni kusema kuwa polisi wanapresha ambayo inasababishwa na wao kutuhumiwa katika...
1 Reactions
6 Replies
452 Views
Hawa ni wale jamaa ambao jamii imekua ikiwategemea kwa usalama wao lakini inapotokea tatizo au sintofahamu basi Hawa makamanda huwa lawama zote hubebeshwa wao,na hata ikitokea wametatua tatizo...
1 Reactions
0 Replies
304 Views
Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
1 Reactions
5 Replies
448 Views
Wanabodi Naomba niwaletee kwenu hawa wataalam kwenu, dondoo juu ya wakifanyacho na umuhimu wao kwa wale wote wanaofanya kazi, karibuni. OSHA, kwa kirefu ni Occupational Safety and Health...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata watu tisa kwa tuhuma za kumwozesha binti mwenye umri wa miaka 13, Faudhia Mwinyi, mkazi wa Kazaroho, Kata ya Mbugani, kwa mwanaume Issa Ndambile (24)...
2 Reactions
5 Replies
651 Views
Meli ya hospitali ya Jeshi la maji la China, "Peace Ark" inayotekeleza jukumu la “Operesheni ya Masikilizano mwaka 2024”, hivi karibuni ilihitimisha ziara yake ya urafiki na huduma za matibabu...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema...
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Wakuu, Mwananchi akichelewa kufanya malipo au akiharibu kitu hakuna msalia mtume, yaani uwajibikaji ni hapo kwa hapo, sasa kwanini wakitukosesha wao huduma inaishia tu kwenye kumradhi...
2 Reactions
2 Replies
382 Views
Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka 2019 ya Shirika la Afya Duniani (WHO), matumizi ya pombe, hata kwa viwango vidogo, yanaweza kuleta madhara ya kiafya, lakini madhara makubwa zaidi yanatokana na...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo. Kusoma zaidi alichoeleza...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu leo nimeamka na kujikuta nikitafakari sana kuhusu mambo ya kifamilia hass yanahusu Baba na Mama. Nikiwaweka kwenye mizani ni kuwa Mama anapewa uzito mkubwa kuliko Baba. Kila upande wa hii...
3 Reactions
15 Replies
892 Views
wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2. Pia ni plantform gan naweza kuzipata kununua eos,chain...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA Na Happiness Shayo - Mumbai, India Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing...
0 Reactions
2 Replies
464 Views
MAHARI SIO LAZIMA, NI MILA POTOFU YA KUPIGWA VITA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya Mila potofu isiyo na maana ni suala la Mahari. Hakuna sababu hata Moja yenye Maana ya MTU kutoa...
19 Reactions
197 Replies
11K Views
Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Taarifa ya Jeshi la Polisi == Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao. Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…