Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna baadhi ya wanachama wamenza kuwa na wasiwasi kuwa Lisu anakipoteza Chama bora uongozi wa Mhe. Mbowe ulikuwa imara na madhubuti
1 Reactions
3 Replies
306 Views
Nchi hii ni yetu sote. Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi. Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya...
5 Reactions
19 Replies
883 Views
Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Mfanyabishara wa mbao anayefahamika kwa jina la Peter Stephano mkazi wa Maji ya chai wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ameanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza nyumba za kisasa zinazoweza...
13 Reactions
63 Replies
4K Views
Management ya mradi wa mabasi yaendayo kwa Kasi BRT katika kutekeleza mpango wa 'maboresho', na kinachoonekana kuimarisha mfumo wa ukusanyaji mapato wamekuja na card. Wazo jema kabisa kwani pia...
0 Reactions
5 Replies
549 Views
Jana niliona picha wananchi wakiwawajibisha viongozi wao akiwemo diwani wao huko Arusha. Nikakumbuka diwani wa huku kwetu Minga. Huyu jamaa alikuwa mwenyekit wa BAVICHA akahamiq CCM. 2020 akapewa...
0 Reactions
3 Replies
446 Views
Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane --- AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA. Watu 14...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Aisee Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa) Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye...
5 Reactions
10 Replies
592 Views
Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoa tangazo la kulipia matukio ya sherehe na kisha tangazo hilo kusitishwa kwa muda, mjadala umekuwa mkubwa baada ya wananchi nao kupinga sheria hiyo...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Habari wakuu. Kuna jambo la haraka ambalo ili kulikamilisha natakiwa kuwa na physical (plastic) debit/credit card na siyo hizi virtual kama za M-Pesa ambazo ndizo nazitumia sana. Kwa anayefahamu...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Unaweza kumwita kwa majina utakayo: rais wa ombaomba, nguli wa kuomba, mtoto wa mjini na mengineye. Hata hivyo, unaweza kumwita mwamba aliyefikia hatua yakutunishiana misuli na mamlaka...
2 Reactions
11 Replies
705 Views
Muda mwingi niko home kuna mafundi wanaendelea na ujenzi tangu july nimegundua kitu Hawa jamaa ni wanaume lakini wanavyongelea maisha ya watu wananishangaza Muda mwingine niko ndani hawajui...
17 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili...
7 Reactions
6 Replies
622 Views
Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea. Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai. Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi...
50 Reactions
146 Replies
4K Views
Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote...
5 Reactions
27 Replies
988 Views
Na Mwandishi Wetu. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda ametoa tuzo ya heshima kwa kampuni ya uzalishaji wa vinywaji changamshi ya Mati Super Brands limited ambao ni...
2 Reactions
2 Replies
555 Views
Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa...
13 Reactions
72 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…