Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwongozo wa Wanaoanza Kujichukia; Hapa chini kuna sheria 10 ambazo unaweza kutumia ili kuwa mtaalamu wa kujichukia kwa haraka. Mwongozo huu umeelekezwa kwa wanaoanza na hauhitaji ujuzi au uzoefu...
0 Reactions
10 Replies
939 Views
Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu ●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi...
1 Reactions
4 Replies
880 Views
Matendo haya hayaendi pamoja hata siku moja.. Upande mmoja maji yakipwa basi upande mwingine maji hujafa Maji yakipwa yana faida na hasara zake! Vilevile maji yakijaa yana faida na hasara zake...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kumbe matokeo yametoka, ila necta hawataki kuweka kwenye mtandao wao? shida nini? au kwa sababu shule za private zinawazidi? mtaburuza sana mkia.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kadri unavyoendelea kujieleza kwa watu wasiokuelewa, ndivyo unavyoongeza nafasi ya wao kukuumiza ama kukifumua kidonda chako upya. Mtu asiyekuelewa, atajitahidi kukuonyesha kila kinachokukuta ni...
9 Reactions
13 Replies
729 Views
Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi. Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya...
1 Reactions
0 Replies
473 Views
nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina...
2 Reactions
6 Replies
446 Views
Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuwa mwanga mahali penye giza, tumaini mahali penye shaka na nguvu mahali panapohitajika msaada kila hatua yako ina maana.
0 Reactions
0 Replies
260 Views
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku...
0 Reactions
3 Replies
474 Views
Utofauti ni kuwa, wewe unaumia sasa hivi, mwenzako aliumia jana, mwingine aliumia juzi, na mwingine aliumia miaka mingi iliyopita. Umewahi kujiuliza, kama hayo maumivu utaishi nayo miaka kumi...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila...
3 Reactions
4 Replies
318 Views
Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani...
0 Reactions
2 Replies
495 Views
Mwanaume self-made ni aina ya wanaume ambao wa mehaso/hustle katika maisha haya na kutoboa au kufanikiwa bila msaada wa mali kutoka kwa ndugu jama au rafiki, wengi wana pambana na watu wenye husda...
30 Reactions
134 Replies
8K Views
🔥 JAMBO NI LA MOTO, TAREHE IMEWEKWA WAZI NI 21 DESEMBA, 2024 Jumamosi, 21 Desemba 2024, tukutane viwanja vya Mbagala Zakhiem. Kuna jambo kubwa la kihistoria kwa vijana wote! Kijana Vunja kabati...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Full Moon ritual Universe Manifestation Laws of Attraction Medium Astrology Palm reading Kwa kibinadamu zaidi, hizi hatua huonekana hazifungamani na roho yoyote. Ni hatua zisizoonekana...
1 Reactions
0 Replies
407 Views
Jamii imeendekeza zaidi mipira na michezo ya kamari kuliko mambo yanayogusa maisha yao moja kwa moja. Maana sio ajabu kwa sasa kuona vikundi vya watu vijana kwa watu wazima wamejikusanya sehemu...
4 Reactions
8 Replies
448 Views
Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri ...
2 Reactions
11 Replies
821 Views
Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa...
1 Reactions
2 Replies
459 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…