Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo. Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye...
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kumpa ripoti ya kitaalam kuhusu kasi ya ujenzi usioridhisha kwa Mkandarasi...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
NB nimeikopi kutoka X 1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm). 2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni. 3. Kunywa...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa...
0 Reactions
6 Replies
451 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo. "Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT) ◾Haya yanajiri wiki chache tu...
14 Reactions
229 Replies
12K Views
Haya nimetulia sasa niwaambie yaliyonikuta kwenye biashara ya daladala🤣basi baada yakuona dereva na konda wake wananizingua sikuhiyo nikaamua niingie mzigoni mwenyewe nikae mlangoni nikusanye hela...
17 Reactions
47 Replies
4K Views
Yaani Tayari ngoma inasoma 35, hujajenga, hujaoa, huna kazi, huna biashara, huna connection yoyote. Ila vitu ulivyokuwa navyo, una kitanda tayari na mashuka yako na baadhi ya vitu vya ndani, Una...
20 Reactions
85 Replies
5K Views
Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwaniaba ya watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Heri ya Krismas na mwaka mpya! Wiki ijayo nitakuwepo Kampala, na ninatarajia kuwepo huko kwa siku kadhaa! Tafadhali mliopo huko, na hata kwingineko wenye "taarifa" mnisaidie yafuatayo: 1. Bei...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo. Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama...
4 Reactions
19 Replies
850 Views
Serikali mkoani Pwani, imekamata shehena ya miundombinu mbalimbali ya serikali iliyoibiwa na kuhifadhiwa katika kiwanda cha kutengeneza vifaa vya ujenzi Mkuranga mkoani Pwani. Miundombinu hiyo...
2 Reactions
6 Replies
543 Views
Kama kweli Mungu yupo basi yeye ni katili sana na sifa ya kuwa ana UPENDO haimfai. Ni hayo tu, AM DONE.
1 Reactions
3 Replies
390 Views
Nchi yetu watu wake wengi ni watumwa lakini wanajiita wafanyakazi, unamkuta mtu anafanyakazi masaa 12 hadi 14 kwa ujira wa kuanzia 3000-10000 bila kuwa na bima ya afya wala kuunganisha kwenye...
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Kwa kasi ya ujenzi wa barabara za mwendokas kuna root zitaenda kufa au kususuasua route za Bunju - Ubungo. Bunju - Makubusho Goms - Kariakoo Mbagala - Kariakoo. Hizi routes mapato /hesabu...
4 Reactions
3 Replies
385 Views
Wananchi wa Kijiji cha Ikuvilo, Kata ya Luhota, Wilaya ya Iringa Vijijini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao ili waweze kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Hayo yamesemwa na...
0 Reactions
2 Replies
326 Views
1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa; 2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi; 3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara; 4. Kupunguza...
3 Reactions
5 Replies
385 Views
Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 3 kurasimisha makazi ya wananchi katika Mkoa wa Dar es Salaam. Katika kukamilisha zoezi hilo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe...
2 Reactions
4 Replies
733 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…