Separation Ring ni kitu gani?
Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini...
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili.
Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini...
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu...
Hili ni tukio lakweli nililo liona.
Siku moja nilikuwa katika mkoa Fulani na kwa kawaida ya shirika nilikuwa nafanyia kazi ilikuwa ni utaratibu kutupa nauli ya ndege hivyo nilienda kwenye moja...
Wakati tupo katika mwanzo wa mwaka mpya 2025, kuna haja muhimu ya kutazama uhusiano kati ya China na Marekani, ambao ni moja kati ya uhusiano muhimu sana wa pande mbili duniani kwa sasa. Kwa...
Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata...
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!!
Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya...
Meditation (Kutafakari) ni nini?
Meditation, inayojulikana pia kama kutafakari kwa kina, ni zoezi la kiakili linalohusisha kuzingatia mawazo, pumzi, au hali fulani ili kufikia utulivu wa ndani...
Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja?
Na Je nichague...
Jeshi la polisi wilayani Kilolo, mkoani Iringa linamshikilia mwenyekiti wa Kijiji cha Mtandika kwa mahojiano zaidi kuhusu tuhuma za kuchukua fedha kwa wafugaji na kusababisha migogoro kati ya...
2024 ulikuwa nimwaka mgumu sana kwangu, sijui wapi nilifeli maana kama ni kupambana nimepambana sana ila sijaona hatua nilizopiga zaidi yamaumivu tu.
Mwaka huu kama Mungu atanipa pumzi na afya...
Chukulia kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani?
Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Nenda labda Zambia au Malawi...
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.
Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.
Kuhani...
Habari,
Napenda kukuandikia ujumbe huu kuomba msaada wa kutupazia sauti.
Kampuni ya Betika inayoendesha michezo ya betting imeshikilia pesa za wataja wao.
Pesa hizo zinahusisha miamala ya...
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia...
Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili.
Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.
Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya...
Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran...
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.
1. Si jambo la kushangaza mkoani Tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.