Join RSTMH & who on #WorldNTDDay for a free webinar exploring climate change, malaria, & NTDs. 📅 30 Jan, 12:30–1:30 PM GMT
Highlights: insights from a major scoping review + expert speakers...
Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi...
Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani.
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake...
Kwa siku za karibuni Tabata imekuwa sehemu ya kula bata sana tofauti na kipindi flani ilijulikana Sinza ndio kuna mambo mengi lakini hivi sasa Tabata ndio inashika namba moja.
Ukianzia 40 40...
WEMA BADO WAPO
1. Nilipo pata ajali, ndipo nilipofahamu
Wachache wanaojali, tena wasonifahamu
Jaribu ni ja jabali, lahitaji utimamu
Watu wema bado wapo
2. Walojidai mapenzi, tele ningali mzima...
KUWA MMBEA UTATAKIWA :
1.Uwe na habari nyingi za watu ( za kweli au uongo)
2.Ujuane na watu wengi
3.Uwe na salio la kutosha kwenye simu
4.Uwe na nguvu ya kuongea kwa muda mrefu.
5.Usiwe na hasira...
NEMC KANDA YA KASKAZINI YABAINISHA NAMNA ILIVYOSIMAMIA MIRADI
Na Mwandishi Wetu
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kaskazini limetaja mafanikio kadhaa...
Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kijakazi Yunus ambaye katika uulizaji wake wa...
Serikali ya Congo imewaua wanaume wapatao 102 kwa njia ya kunyongwa wiki iliyopita, na wengine 70 wanatarajiwa kuuawa. Waziri wa sheria wa nchi hiyo alisema Jumapili katika taarifa kwa Shirika la...
Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi...
Imenibidi kuandika huu uzi ili kubadililishana ujuzi wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye hili life
Kuna kipindi nilikuwa nafukuzia mchongo kwenye kampuni fulani.
Ilifikia hatua...
Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo.
Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila...
Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina.
https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv
Kama muda wako hautoshi au MB...
C E O wa Manara Tv na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Haji Manara amefunguka kuwa miongoni mwa wanawake majasiri Duniani ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza na waandishi wa Habari...
Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia...
Salaam Wakuu,
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums kudai kuna Utiririsha wa Maji taka kwenye Mitaro ya Ubungo Riverside, Manispaa ya Ubungo imetolea ufafanuzi.
Hapa chini ni Ufafanuzi;
"Ufafanuzi...
Wakuu mimi nina tabia ya kupenda kucheka sana yaani napenda kutaniana na watu yaani nitacheka sana.
Ila ni kwa watu tuliozeana tu ila kwa mtu ambaye sina mazoea nae ni ngumu kuelewa kama mimi ni...
Habari za muda huu hapa,
Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja.
Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm.
Maisha yamekuwa magumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.