Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu noti za dola zibuniwe mwaka 1862, Ni mara chache sana tumesikia zikibadilishwa design au kubadilishwa kwa namna yoyote ile, ila hapa Tanzania noti zimekuwa zikibuniwa, kueditiwa na...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa...
3 Reactions
0 Replies
692 Views
Mimi si mpenzi wa kuongea au kuandika mambo bila hata kufanya utafiti kidogo. Ukweli ni kwamba mwaka huu, CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa, na sijawahi kushuhudia hali kama hii hapo kabla...
22 Reactions
56 Replies
2K Views
Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwanamuziki Chris Brown amewasilisha kesi dhidi ya kampuni ya filamu, Warner Bros. Discovery akiidai kampuni hiyo kiasi cha Tshs. Trilioni 1.2, akidai kwamba kampuni hiyo imechapisha taarifa za...
1 Reactions
8 Replies
778 Views
Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu jehanamu hasa kujua iko wapi nikitumia google photo map walau kupata direction yake. Asee kumbe hata google map haifui dafu ikanibidi nitumie tu knowlege...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama ilivyo ada mara zote mtu ukiwasilisha hoja nzito yenye tafakuri za kiutulivu ndani yake lazima uonekane mwehu fulani au mvuta bangi fulani. Mimi sio nabii wala mtume ila 2099 tutegemee kuona...
0 Reactions
3 Replies
277 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi. Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake. WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Siku zinaenda kasi! Vijana wa 1990-1993 mwanzoni nao tiyari wameanza kukuza! 👉Kimsingi Nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwa msanii shetta ☑️Asije akatokea mtu akasema elimu ya Tanzania aina umuhimu...
2 Reactions
9 Replies
853 Views
Ni dhahiri shairi kama siyo press ya kwanza ya lema basi Leo hii mbowe angeibuka mshindi kwa kura zaid ya Mia sita mpk Mia tano Imaging Jamaa pmj na kupigwa spana zote hzo ila bado amepata kura...
0 Reactions
9 Replies
701 Views
Hili Genge lilitamba sana miaka ya nyuma na kutuaminisha kwamba lenyewe ndiyo lina hati milili ya uongozi wa nchi yetu Mambo yanaenda kasi sana, na tayari chama chetu pendwa kimekuja na azimio...
1 Reactions
1 Replies
431 Views
Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za jioni, Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma. Ahsanteni.
14 Reactions
125 Replies
11K Views
Takwimu za Video zao Mtandaoni za Jana na Leo za watu waliokuwa wanfuatilia uchaguzi chadema Kupitia JAMBO TV 🅴 TUNDU LISSU ANAZUNGUMZA MUDA HUU Kutazamwa: elfu 140Ilitiririshwa saa 2 zilizopita...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya...
-1 Reactions
1 Replies
544 Views
Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye...
0 Reactions
6 Replies
598 Views
Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection . Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network. Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani . Mfano...
0 Reactions
1 Replies
444 Views
https://youtube.com/shorts/uniqnNb37D8?si=tx3ZRU-dGCu6Bye_
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Back
Top Bottom