Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ni ajabu na kweli ukisafiri na treni ya SGR utakuta maeneo mengi inapopita hiyo treni hayana network nzuri ya simu. Je makampuni ya simu hayaoni kama wanapoteza fursa ya kupiga pesa? Hawaoni...
2 Reactions
19 Replies
723 Views
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu Rucu mkoani Iringa, Rachel Mkubwa amefariki dunia kwa kile kilichodaiwa kubakwa hadi kufa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea usiku wa...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu. Hii itakuwa nini?
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha...
10 Reactions
93 Replies
4K Views
Miongoni mwa Binadamu wenye kipaji sana. Ana calibre ya kuwa mshauri mwema na mwenye uwezo. Uwe unakubali au unakataa inabaki kuwa shida zako. Alipotoa ushauri kuhusu Mgogoro wa Israeli na...
2 Reactions
13 Replies
519 Views
- Kinachoendelea kwa majirani zetu DRC ni ishara kuwa amani ikitoweka nchini mwako basi usitegemee eti utapata usaidizi wa Jumuiya au mataifa ya nje kusaidia kuirejesha amani hiyo. - Vivyo ivyo...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Mji wa Kisemvule - Mkuranga Mkoani Pwani umekuwa na ongezeko la watumia barabara kadiri siku zinavyoenda mbele. Hali hiyo imesababisha kuwa na ongezeka la kufutika kwa alama za pundamilia...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa...
1 Reactions
3 Replies
357 Views
Wamevaa vikofia vyeusi kwenye maeneo ya starehe wana act kishamba shamba sana. Walugaluga wakubwa, ushamba sana.
11 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo asubuhi mimi na watanzania wenzangu tulikuwa tumealikwa katika...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwenye pita pita mbalimbali nimekutana na maelezo kuwa kagame alikua na mkono kwenye mauaji ya rais wa zamani wa Burkina faso Bwana Thomas sankara Kwa mliomjua kumsikia na kujuwa sankara alikua...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
KINACHOHITAJI MAANDALIZI USISUBIRI MPAKA KIWE DHARURA. Hili linatugharimu wengi kujikuta tunafanya dharura ambayo haikupaswa kuwa kama maandalizi yangefanyika vilivyo kabla. Yapo mambo mengi...
3 Reactions
4 Replies
357 Views
Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala. Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha...
6 Reactions
13 Replies
984 Views
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi Mie ni mtumishi wa umma...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Yule aliyesema ajira ni uti wa mgongo aisee hakukosea hata kidogo na kiukweli kilimo nitakiheshimu na nitazidi kukiheshimu kusema za ukweli ukubali au ukatae Baaada ya kuachana na ajira niliingia...
19 Reactions
40 Replies
5K Views
Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote. Wengine wanaenda kwa waganga.
1 Reactions
1 Replies
277 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…