Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani wanaJukwaa. Huku kuingilia mapenzi ya watu na kujifanya mwema wakati mwingine tuangalie na kuwa makini ============== Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Akwii ambaye ni mlinzi na...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu lakini hutakiwi kuwa mtumwa elimu kwa sababu kuna maisha nje ya elimu. Wazazi wa siku hizi sijui ni ujinga au ni ulimbukeni yaani...
26 Reactions
99 Replies
3K Views
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati? Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
1 Reactions
4 Replies
778 Views
19 Reactions
54 Replies
3K Views
Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha...
1 Reactions
1 Replies
409 Views
Usijiue kwa sababu ya hasara ya pesa au kukimbiwa na mpenzi Maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kila mmoja wetu hukutana na changamoto tofauti, lakini hakuna sababu yoyote inayostahili...
3 Reactions
2 Replies
445 Views
Nimekumbuka maneno ya proff mwenye mbwembwe kuhusu bwawa . Watu Puppet kama huyu proffessor ilipaswa wasiruhusiwe kutumia umeme wa Tanesco unaotokana na bwawa . Hawa wazawa waliotumiwa na...
1 Reactions
6 Replies
389 Views
Leo kuna mtu nimekuta anafurahi kufa kwa wa Congo kwa vita ila kukasirishwa na wapalestina kufa wakati wote ni vita ya udini na ukabila. Hivi hawa waafrika wa vijiwe vya kahawa ndio waliaminishwa...
0 Reactions
2 Replies
252 Views
Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema "Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa." Ukisoma toka mwanzo utagundua...
23 Reactions
155 Replies
5K Views
“Baada ya kuwa Rais nilimuomba msindikizaji wangu twende kwenye mgahawa kwa chakula cha mchana, tukaketi na kila mmoja wetu akauliza anachotaka. Juu ya meza ya mbele, kulikuwa na mtu anayesubiri...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali...
41 Reactions
256 Replies
15K Views
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani ndani ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na wimbi kubwa la kuenea kwa taka za chupa za plastiki za rangi hasa zinazotokana...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji...
8 Reactions
91 Replies
13K Views
Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya...
0 Reactions
6 Replies
749 Views
Kwa namna hii wake zetu watakuwa wanaliwa sana. Nini kifanyike, maana imeshakuwa ni tatizo kubwa mno, mwanaume unamruhusuje mke wako akabinuke hivyo, eti mazoezi?
16 Reactions
88 Replies
11K Views
Wakuu Kuna ukweli wote hapa?
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni...
0 Reactions
1 Replies
575 Views
Ndugu mnaobeti au kubashiri kwa njia ya mtandao ktk kampuni ya Premier kuweni makini sana, binafsi nilikuwa naweka (deposit) pesa kwa kutumia airtel money ktk akaunti yangu nikaweka pesa mara 5...
5 Reactions
13 Replies
48K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…