Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Habari wakuu! Mtaani kuna story nyingi kuhusu kampuni ya coca cola kuna wengine wanasema imeanzishwa sijui na watu wawili wanaoitwa Coca na Cola ila hizo sio story za kweli. Kutokana na uchunguzi...
4 Reactions
1 Replies
900 Views
Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Asikwambie mtu, kipindi cha nyuma alionekana si lolote mbele ya jamii kwa sababu hakuwa na chochote Akiwa anatembea kwenye minada ya masoko mbalimbali vijijini kuuza viatu vya aina ya yebo yebo...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu. Wakati mradi wa kujenga Bwawa la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata...
1 Reactions
0 Replies
270 Views
Wakuu, Mtanzania Asha Makame Ally, aliyeelekea nchini Oman kupambania ndoto zake, amepatikana akiwa amefariki dunia nchini humo, ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, huku mwili wake ukigundulika...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
0 Reactions
4 Replies
898 Views
Wadau tupeane mbinu za kuishi wiki nzima bila umeme Maana kwa maelezo ya Tanesco from tarehe 22 mpaka 28 dar na zanzibar tutakuwa gizani. Kupisha substation ya Dar kufungwa transfoma na...
2 Reactions
1 Replies
400 Views
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day Lakini ukweli mchungu huwezi...
26 Reactions
121 Replies
7K Views
Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao. Niliguswa sana na tukio...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu,naskia toto afya imerudi kwa gharama yetu maskini,ni kweli? Tupeane info wazee.
0 Reactions
1 Replies
300 Views
๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ผ๐—ป๐—ฎ Hakika Tanzania tunaendelea kuwa imara kwenye sekta ya Teknolojia Kila siku zinavyozidi kwenda vijana wengi wanaibuka na kuonyesha...
6 Reactions
13 Replies
933 Views
Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari wakuu. Siku za karibuni pamekuwa na utapeli wa aina nyingi na aina mbalimbali unaohusiana na fedha. Kama bahati nasibu, kamari, network marketing, pyramid scheme, ponzi schemes, "online...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za Leo wanajforum? Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na...
2 Reactions
11 Replies
8K Views
https://www.youtube.com/live/y5a0kXD2wkE?si=U16sfXt9DHsLAmxZ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mashindano Makubwa ya Qur'aan kwa Wanawake Duniani...
0 Reactions
2 Replies
564 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo...
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia. Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala)...
14 Reactions
97 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/watch?v=dt5CakYo9AA Leo kutakuwa na mashindano makubwa ya kuhifadhi Quran kwa wanawake katika uwanja wa Mkapa. Mgeni rasmi atakuwa ni Rasi wa Tanzania - Dr Samia Mashindano...
12 Reactions
211 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ