Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Orodha hii hapa. Kongowe, hapa ni mpakani mwa Dar na Pwani, kuna movement kubwa sana ya watu, magari mengi na junction ya kutoka Kigamboni kwenda Mkuranga au Mbagala. Mwandege hapa iliwekwa...
3 Reactions
4 Replies
633 Views
Habari za jioni jamii forum Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa...
9 Reactions
111 Replies
7K Views
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2 Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila...
34 Reactions
220 Replies
8K Views
Kimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja. Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba...
14 Reactions
37 Replies
2K Views
Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Hili neno la connected to other device successfully linajirudia kwenye screen ya simu yangu tangia Jana je nawezaje kulitoa
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hivi viongozi wa Afrika mna akili au matope ya kupenda sifa, Hao mnaowaita wawekezaji nyie wenyewe ndo mmewapa utajiri, ila kuwapa waafrika wenzenu mnaona uvivu, hivi hizi akili mnazitoa wapi...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Leo naingia bila salamu! " What goes around comes around" Mungu amekasilika sana Juu ya mambo yanayoendelea Tanzania. Wanasiasa mnalingiza taifa kwenye laana, hiyo mipango yenu mibaya juu" kiti...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto 1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi 2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari? Nielewesheni wakuu
4 Reactions
18 Replies
967 Views
Wazalendo wa Nchi hii Akina Job Ndugai waliwah kuuliza kwanini Tusijitegemee? Sasa Nchi hii Ina Kila kitu, hizo PhD za Uchumi, msizihamishie kulinda Matumbo yenu tu huku mzigo wote mkiuleta Kwa...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali. 2. Kuna kipindi...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Kilio ni kikubwa mno kutoka kwa wateja wao. Hizi cargo za weusi wenzetu wasio na asili ya mabara mengine zina majanga mno kwenye utendaji wao. Watu wanalalamika kutopokea mizigo yao kwa wakati...
6 Reactions
14 Replies
689 Views
Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa...
1 Reactions
2 Replies
408 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…