Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ugonile, before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa. wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi...
1 Reactions
14 Replies
568 Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kuna tofauti gani kati ya Mamlaka (Authority), Tume (Commission) na Bodi (Board)? (1) Kwanini zamani ilikuwa...
14 Reactions
90 Replies
12K Views
Tanzania kwa nini tunakua namna hii? Watu wa Brela mtu ameshakamilisha na kujaza form zote na kulipia kila kitu kitendo cha mfanyakazi wa Brela kubonyeza button "FINISH" kinachukua siku 2 mpaka 3...
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Siku hizi watu wanapokea simu ambazo zina umuhimu, zina faida, zinawapa furaha, au zina wito maalum kwenye mambo yao. Ukiona simu zako hazipokelewi jiongeze! Wakati mwingine unaweza kumpigia mtu...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Ofisi ya Rais, Serikali za Mitaa na Utawala Bora (OR-TAMISEMI), imeanza utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 kwa Shule za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord. Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na...
18 Reactions
48 Replies
4K Views
Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi. Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini...
5 Reactions
19 Replies
848 Views
Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli...
3 Reactions
13 Replies
743 Views
Mila nyingine zinachekesha sana, mojawapo ni hii mila ya kukanyaga au kuruka mawowo ya wanawake waliola chini.
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Sio poa kabisa Wakuu, leo nimekiona cha Mtemakuni! Hali ya usafiri usiku huu inazidi kuwa ngumu kuanzia Tabata Relini, ambapo foleni ya magari ni ndefu hadi Barakuda.
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Dodoma, Februari 7, 2025 – Benki ya CRDB imefanikiwa kusaini mkataba wa kusimamia utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri inayolenga kuwainua wanawake, vijana, na makundi maalum...
0 Reactions
7 Replies
627 Views
Hakuna kitu kizuri au chenye faida hupatikana kwa wepesi na kwa haraka. Soma mifano ifuatayo kisha jitafakari na uamshe ari yako tena. Uwindaji sio kazi rahisi. Tiger hushambulia mawindo yake...
4 Reactions
7 Replies
417 Views
Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Anonymous
Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe. Watumishi wa shule ya St Marys...
2 Reactions
13 Replies
863 Views
Leonard Mambo Mbotela enzi za uhai wake Mwanahabari mkongwe Leonard Mambo Mbotela, anayejulikana kwa kipindi chake maarufu cha "Je, Huu Ni Uungwana?" amefariki dunia. Ikithibitisha kifo chake...
12 Reactions
73 Replies
5K Views
Anonymous
Hili jambo linasikitisha sana, unasubirishwa kwenye foleni saa kadhaa halafu majibu unapewa mafupi ambayo hayana msaada wa shida uliyoifuata, meanwhile wanakuzungusha bila kujua umetoka wapi...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…