The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo.
Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya?
Jiulize hivi huyu dogo namtendea...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal.
Teknolojia hii...
Wakuu,
Babu yangu ambaye ni kaka yake marehem bibi ni mwanajeshi mstaafu na mkurugenzi mtendaji ktk kampuni moja wapo ya uchimbaji madini huko Ushirombo mkoani Geita.
Nilipomaliza shule...
Habari za wakati huu,
Waswahili husema penye wengi pana mengi.
Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona...
Wakuu habari.
Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private.
Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu...
Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi...
Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao...
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32.
Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na
Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo...
Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?
Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili .
Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa...
Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili
Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa...
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba...
Serikali ya Tanzania inategemea sana fedha za msaada na mikopo kujiendesha. Ingawa serikali haijawahi kuweka wazi hii hali ila baada ya Marekani mfadhili mkuu kujitoa kwenye baadhi ya mambo...
Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao...