Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba...
0 Reactions
11 Replies
616 Views
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula. Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake. Sirudii mwenye...
1 Reactions
4 Replies
363 Views
Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu. Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu Ifahamu nchi ya Australia...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
By Mosiqi Acharya Department of Immigration and Border Protection (DIBP) have released the new Skilled Occupations List (SOL) for 2016-17. This list will come into effect from 1st July, 2016...
1 Reactions
60 Replies
11K Views
habari za leo wanajamvi., samahani naombeni msaada jinsi YA kupata visa ya Australia yaani vitu gani napaswa kuambatanisha? .nimeomba mara ya kwanza nimenyimwa nimeambiwa niseme evidence kwamba...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuna kampuni zingine unaweza kudhani zina laana. Unakuta hakuna waajiriwa waliopiga hatua, wapo wenye hali zinazozidi kuwa mbaya, wenye nafuu wapo pale pale walipoanzia. Yani unakuta kila...
2 Reactions
3 Replies
486 Views
Kuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka...
7 Reactions
50 Replies
1K Views
Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe...
1 Reactions
15 Replies
712 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Wadau hii changamoto ina maana gani kwetu raia? Kuna kiasi cha maafisa wa polisi 38,850 katika jeshi la polisi la Tanzania, ambao ni kiasi cha afisa mmoja wa polisi kwa kila watu 1,150. Maafisa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Closed
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri. Sina kazi, Sina pesa, Sina anipendaye. Sasa Duniani nafanya nini? Leo tarehe 10/02/2025 Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki. Napambana naona nimefika...
28 Reactions
284 Replies
8K Views
Wizara ya maliasili na utalii imepongezwa kwa kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha juhudi kubwa katika kuendeleza...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Barabara ya Dar -Arusha kuptia Tanga kuna ajali nyingi ambayo madera wanachangia kiasi kidogo ila kwa sehemu kubwa ni mamlaka inayosimamia barabara. Maeneo ya Tengwe, Kwankale, Changombe,Kabuku...
2 Reactions
4 Replies
403 Views
Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Tatizo kubwa linalowafanya Watanzania wengi waogope mawazo makubwa ya kibiashara, kielimu, na kijamii linatokana na sababu kadhaa za kihistoria, kijamii, na kiutamaduni. Baadhi ya sababu hizo ni...
1 Reactions
4 Replies
457 Views
RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Nchi zote zinazo wapatia matibabu viongozi mafisadi wa ki Africa ni muda Sasa wa kumuiga Trump Ili wawe wanatibiwa hapahapa(nchini mwao) kama JPM alivyokuwa anatibiwa Hadi kujifia hapa nyumbani...
3 Reactions
2 Replies
221 Views
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan ameishauri serikali pamoja na uwekezaji ilioufanya kutakiwa kufanya maboresho katika utoaji wa huduma ndani ya Treni ya Mwendokasi (SGR) kwa kutumia treni...
0 Reactions
2 Replies
294 Views
Back
Top Bottom