Wanafunzi hao wameshindwa kusaini malipo ya ada kwenye mfumo kutokana na changamoto za mfumo wenyewe, jambo hili linawafanya washindwe kufanya mitihani yao ya muhula huu ambayo inaelekea kuanza...
Sio ajabu kuona watu kama kina Samantha Power, Michele Sumilas, Clinton D. White pamoja na Kimberly Ball wakiumia na kugugumia maumivu juu ya ushindi wa Donald Trump. Kwa Wamarekani ni wazi kuwa...
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp.
Familia zetu zinakula na kunywa kupitia...
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias...
Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba...
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote.
Yani leo hii mtu anakuja kuandika...
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula.
Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake.
Sirudii mwenye...
Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu.
Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na...
Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu
Ifahamu nchi ya Australia...
By Mosiqi Acharya
Department of Immigration and Border Protection (DIBP) have released the new Skilled Occupations List (SOL) for 2016-17.
This list will come into effect from 1st July, 2016...
habari za leo wanajamvi., samahani naombeni msaada jinsi YA kupata visa ya Australia yaani vitu gani napaswa kuambatanisha? .nimeomba mara ya kwanza nimenyimwa nimeambiwa niseme evidence kwamba...
Kuna kampuni zingine unaweza kudhani zina laana.
Unakuta hakuna waajiriwa waliopiga hatua, wapo wenye hali zinazozidi kuwa mbaya, wenye nafuu wapo pale pale walipoanzia.
Yani unakuta kila...
Kuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka...
Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati...
Wadau hii changamoto ina maana gani kwetu raia?
Kuna kiasi cha maafisa wa polisi 38,850 katika jeshi la polisi la Tanzania, ambao ni kiasi cha afisa mmoja wa polisi kwa kila watu 1,150. Maafisa...
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.
Sasa Duniani nafanya nini?
Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika...
Wizara ya maliasili na utalii imepongezwa kwa kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha juhudi kubwa katika kuendeleza...
Barabara ya Dar -Arusha kuptia Tanga kuna ajali nyingi ambayo madera wanachangia kiasi kidogo ila kwa sehemu kubwa ni mamlaka inayosimamia barabara.
Maeneo ya Tengwe, Kwankale, Changombe,Kabuku...
Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa...