Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu...
The Golden Generation: A Tribute to Those in Secondary School from 1993-1996
The mid-90s was a transformative era, a golden age of music, sports, science, and global affairs. Those who were in...
VYEO VYA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA PROTOCOL
1. RC (Recruit Constable) akiwa mafunzoni.
KURUTA
2. PC (Police Constable) aliyemaliza mafunzo ya awali police officer kamili.
POLISI ASIYE NA CHEO...
Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki...
Habari wadau.
Kila mwaka udsm inamwaga vijana graduates wenye degree mbali mbali.
Mzumbe na udom hivyo hivyo.
Ajira ni ngumu wote tunajua, graduates karibu wote wa vyuo hivyo vikuu huwa...
True story: Tea time,
Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.
Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa...
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na...
Moja kwa moja kwenye mada!
Kuna muda mpaka unajiuliza hivi huu mkoa kweli una viongozi au ni vile wako bize na timu yao ya Pamba Jiji.
Barabara ya Kona ya Bwiru kuelekea Kitangiri na inayounga...
USHUHUDA NAMBA MOJA JUU YA MBINGUNI NA KUZIMU.JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKOJIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO!FALME ZA MBINGUNI NA KUZIMU,NA KURUDI KWA KRISTOAngelica ZambranoImefasiriwa na Alpha...
Sisi Wakazi wa Kata ya Buhembe katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera tunaomba Mamlaka ya Maji Bukoba (BUWASA) kushughulikia suala la ukosefu wa maji kwenye Kata ya Buhembe.
Serikali imewekeza...
Kwenye ulinzi wa Rasilimali zao Wachagga wanapaswa kupongezwa kwa kweli
Tofauti na Usukumani walikoachiwa Mashimo matupu migodini
Ahsanteni sana 😄
Kwako Lucas Mwashambwa 😂
Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.
Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuvunja ukuta uliozidi kwenye kiwanja namba P18618 kilichopo eneo la Kigogo jijini Dar es...
Mhadhara (82)✍️
CHUKUA TAHADHALI KABLA YA HATARI.
Watoto wa sikuhizi ni watundu sana, hivyo katika uzi huu tunakumbushana mambo madogo ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa ndani kwako...
Kama wewe ni jobless na maisha yamekuchapa,usivunjike moyo wala usikate tamaa
Ipo siku moja na wewe utakufa.
Ni lazima tuweze kuelewa nyakati na mabadiliko ya kidunia.
Tunaishi katika kizazi...
Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba...
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba...
Habari.
Mimi ni kijana wa kiume niliyebahatika kusoma uuguzi nchini Tanzania.
Nipende kuwapongeza wote waliobahatika kusoma uuguzi Tanzania maana moja ya kada inayoiendesha hospitali kwa...
JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa...
Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.
Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.
Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.
Napenda kumshauri huyu ndugu...