Kidunia, kutokana na maendeleo, sayansi na teknolojia, ongezeko la ukwasi wa vitu yamewafanya watu kuwa na maswali mengi kuliko majibu kumekuwa na mahitaji makubwa sana ya kuelewa zaidi ya kile...
wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
Shule ya Sekondari Reginald Mengi yapokea vifaa vya tehama
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Moshi Mjini imeendelea kutekeleza ahadi zake na kutatua kero mbalimbali za Jimbo kupitia Serikali Kuu...
Hakuna jambo linaondoa UTU WA MTU kama hichi kinachoitwa uchawa,Uchawa ndani yake umeficha maovu,umeficha ukweli,umeficha uzalendo na umeficha uMungu,kwa tafsiri ya chawa ni mtu aliyetayari...
Mwandishi: Dokta. Mungwa Kabili….0744 000 473
Nimekuwa nikipokea barua pepe kutoka kwa watu mbalimbali, wakitaka kujua masuala mbalimbali kuhusu ulozi, uchawi na jinsi ya kujikinga dhidi ya uchawi...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya...
Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.
Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.
Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!
Hapa nawajibu wale wenzangu na Mimi, ukiona mtu anakueleza anapata faida fulani kwenye biashara fulani ujue hiyo biashara alishaacha kuifanya kitambo.
Biashara ni Siri kubwa na faida za biashara...
Kuna wakati tunaingia kwenye ugomvi na watu kwasababu ya kushindwa kusema hapana
Na Kuna wakati tunaingia kwenye magumu ambayo hatuku paswa kuya pitia kwa kushindwa kusema hapana
Unapo shindwa...
Wakuu,
Kama utakuwa umefatilia speech za huyu mzee utakuwa umegundua kitu.
-Anaongea kwa masihara lakini ujumbe unaokuwepo ni mzito na unaleta sense.
📌Sikia akiongelea mgogoro wa waarabu wa...
Ijumaa Novemba 22, 2024: Waziri Mkuu aunda Tume maalumu ya watu 21
- Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea...
Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo...
Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha.
Wanakwenda...
Wakuu,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Kamati ya Wataalamu ya Uchunguzi wa Jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia ya kuchunguza chanzo...
Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela...
Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni...