Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya...
Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo...
Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara..
Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo.
Brands ninazoziwaza ni kati ya
Midea
Haier...
Haki za kiraia ni haki za msingi zinazohakikisha kila mtu anatendewa kwa usawa na ana uhuru wa kushiriki katika jamii bila kubaguliwa. Haki hizi zinamlinda mtu dhidi ya ubaguzi na unyanyasaji kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Mambo ya Walawi 15:19 9 Mwanamke ye yote, kama anatokwa na kitu, na kitu chake alichokuwa nacho mwilini mwake ni damu, ataketi katika...
Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni...
https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya...
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa...
Haabari wadau..!
Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa.
Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo...
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli.
Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali...
Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kupitia mapato yake ya ndani inaenda kukamilisha ujenzi wa kivuko cha Kaveso kilichopo Mtaa wa Amani. Kivuko hicho ni kiungo muhimu Kati ya kata ya Kimanga na...
Pita pita zangu katika mitandao nimeona mivutano ya hapa na pale mivutano hiko hivi:-
A) wananchi wa Rwanda wanamaisha magumu kuliko wa Tanzania B)hapana wananchi wa Tanzania ndio wako na uchumi...
Vyama vya kufa na kuzikana havina tija kwa muhusika anayechangia, kwa sababu atasubiriwa afe yeye au ndugu na jamaa ndipo chama kianze mchakato wa kumzika.
Nilikuwa nashauri, kwa nini hivi vyama...
Wakuu noamba Muongozo wa kupata wafadhili katika kituo changu Ambacho kinahudumia watoto wenye mahitaji maalumu.
Kituo hiki kipo Mikocheni, ndo kimeanzishwa hivi karibuni.
Je, naomba kuuliza...
Ushindi wa Trump unaenda kua mwiba kwa hawa viongozi wa Africa wanaopenda kutembeza bakuli kuomba omba. Naona sasa dawa imepatikana.
Hao mnaowatembezea bakuli na kila kukicha kwenda nchini kwao...