Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na...
Mwili wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah unaodaiwa kukutwa mtoni ukiwa umefungwa kwenye mfuko.
Mwili wa Mmiliki wa mabasi ya Super Sami Samson Josiah umekutwa katika mto Ndabaka...
Njia nyepesi ya kuwafurusha waasi ni kuwahamisha wakazi kwa muda eneo salama atakayekaidi atahesabika ni muasi ahera Inamuhusu.
Ifanyike operation kama IDF ilivyofanya Gaza kuwashughulikia Hamasi...
Habari Wanajamii,
Ninaandika kwa uchungu kielezea changamoto ninayoipiia sasa ya KUTOHAMISHIWA TAARIFA ZANGU ZA KIUTUMISHI KATIKA HALMASHAURI YANGU MPYA pamoja na ukweli kwamba nilihama kutoka...
Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la Kampuni ya Ester Kuxury, mkoani Kilimanjaro leo Jumamosi...
"This heart of mine was made to travel this world"
"Travel is my therapy"
"To travel is to live"
Wasalam,
Kama title ya uzi huu inavyoeleza, lengo la uzi huu ni kutoa dondoo kadhaa kwa wadau...
Polisi inawashikilia watu wawili Kwa kupanga njama za kumdhuru Rais wa Zambia, Haikande Hichilema Kwa njia za ushirikina.
Watuhumiwa hao ni Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri wanaodaiwa...
Alhamisi na Ijumaa ya wiki iliyopita, tarehe 30 na 31 Januari walimu wa halmashauri ya Meru walipatiwa semina ya utekelezaji wa mtaala mpya.
Vituo vya utoaji wa semina vilikuwa kadhaa.
Kituo...
Wakuu za sasa hivi hapo,
Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo.
Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari wamekuwa wakiteseka kwa kuwa na Barabara mbovu, Barabara hiyo imeanza kufanyiwa...
Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic...
Serikali zinapaswa kutoa elimu yenye ubora na kuhakikisha kuwa watoto wote wanaipata bila ubaguzi wowote.
Hili ni jukumu la kisheria kimataifa, na serikali zinaweza kuwajibishwa kwa kushindwa...
Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga...
Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa...
Kunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika!
Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi.
Ghafla...
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu...