Moja ya watu wasumbufu katika masoko ni wale wanaomiliki vizimba zaidi ya kimoja na kuwapangishia wafanyabiashara wengine. Hii husababisha migogoro mingi.
Kwa mfano, soko lenye vizimba 100...
Naamini humu sitokosa mtu anaefanya hii biashara kama si mfanya hii biashara ila ana idea na elimu au taarifa kuhusu hii biashara.
Ni moja ya biashara ambayo nimechagua kuifanya kwa ukubwa sana...
Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani
Katika ndoto yangu, nilijikuta nikitembea kijijini kwetu, nikiona watoto wakicheza kwa furaha barazani. Wakati huo huo, kulikuwa...
Nimewahi simuliwa na mtoto wa mama mdogo aliyewahi kufungwa jela.
Aliniambia yote yanayofanyika kule ufirauni na ubabe na kila kadhia aliyokutana nayo tangu day one hadi anatoka kule.
Huenda...
Kuna mazingira nipo na yanaleta makwazo ila siku nitakayo ondoka katizq situation hizi nitasema asante
Kuna nyakati nyingi ila nyakati mbaya na chungu hudumu sana kuliko furaha ila I trust one...
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo.
Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi.
Asante.
NB. Ikiwa Dar iwe...
JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024
Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku
Story ya...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na...
Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums,
Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto...
Kwema ndugu zangu....leo nilikuwa naomba kupata elimu juu ya wezesha kwenye m-pesa hasa kwa mawakala mfano nikikopa 150,000/= marejesho yake shs ngap??. Kwa mda wa mwezi mmoja.
Sent from my...
Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa.
1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali.
2. Jioni daladala zinafanya kazi...
Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
Nawasilisha
Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50
Au kuna sababu nyingine
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri.
2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni...
Habari za leo Wanajamiiforums?
Kwanza kabisa niwashukuru madaktari kwa Kazi nzuri mnayoendelea kufanya🙏.
Ila challenge yangu ni hii.Je,
Kuna daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na...
Bro, chukua hii.
Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu
Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo...
Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni...