Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katibu Tawala wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bw. Eliasa Mtarawanje amewasisitiza wanufaika wa mikopo ya 10% kuwa waaminifu kwenye kurejesha mikopo hiyo, Mtarawanje amesema hayo leo Machi 16...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Merry Christmas wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada Tanesco Kibaha ambayo ndo inawakilisha Tenesco mkoa wa pwani, imejaa ubabaishaji na kuendekeza rushwa. Nasema HILI kwa sababu moja...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Msomi anapata Fursa ya kwenda kuwa muuguzi Dubai au uingereza lakini kwenye suala la kupata passport na nyaraka nyinginezo inakuwa ni kipengele, ukiritimba na udwanzi umejaa sana kwenye ofisini za...
6 Reactions
14 Replies
585 Views
Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na...
1 Reactions
3 Replies
424 Views
Serikali imewapa siku tatu wawekezaji wote wa kigeni kuondoka katika maeneo ya mgodi wa madini Nditi uliopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi na kuwaacha wachimbiji wadogo katika eneo hilo kwani ni...
2 Reactions
2 Replies
400 Views
Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo...
2 Reactions
17 Replies
804 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa...
1 Reactions
6 Replies
450 Views
Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Inarudi tena Mkono unateleza polepole Wa muda na amri zake Muda si muda unafika Unakaa mahali pake Kivuli chake usoni pangu Kinatia shinikizo katika siku yangu Maisha haya...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia...
7 Reactions
16 Replies
984 Views
Je, wajua? Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia...
3 Reactions
17 Replies
766 Views
MHADHARA (106)✍️ Hata kama una majukumu... 1. Mlinde mwanao katika kipindi cha mvua kali. Kamwe asicheze kwenye mitalo ya maji, mabwawa, mito, n.k. 2. Mlinde mwanao dhidi ya ukatili wa kijinsia...
2 Reactions
2 Replies
293 Views
kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa...
5 Reactions
9 Replies
630 Views
Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi. Mpangaji wangu mmoja...
40 Reactions
194 Replies
7K Views
Hamna kitu cha muhimu na msingi kama kujikubali kwa sababu ndio msingi wa wengine kukubali na kukuona wa thamani. Rangi nyeusi kabla na baada ya kristo ilidharaulika licha ya kupata watu mashuhuli...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani? Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
11 Reactions
87 Replies
3K Views
Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati...
5 Reactions
12 Replies
543 Views
Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au...
6 Reactions
6 Replies
367 Views
Wakati wa Corona mwaka 2020 nilikuwa kijijini nimeenda kuangalia mashamba Ila nilichoka Sana nilipomuona MTU ambaye Hana Elimu ya Afya ni lay -Man aliamua kuwaambia watanzania kuwa Watumie...
5 Reactions
4 Replies
354 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…