Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim, Nelson...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Kama sio kupotezewa mda kukaa vyuoni kwa zaidi ya miaka 15 kusomea kitu ambacho hakitakuja kumsaidia, huenda Sasa angashajua kuunda gari nzima mwenyewe.
3 Reactions
2 Replies
326 Views
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa...
1 Reactions
3 Replies
398 Views
Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu. Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake kufanyika karibuni. Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Anonymous
Licha ya kuwa na matangazo mengi ya wanasiasa kuwa bwawa la Nyerere limenza kazi lakini Suala la umeme mkoa wa katavi imekuwa changamoto kubwa Sana Kila siku umeme lazima ukatike kila siku...
1 Reactions
3 Replies
278 Views
Wadau wa Jamiiforums, Habari Zenu? Natumai mpo fresh na maisha hayajakubana sana kama viatu vya ndugu yangu Juma vilivyojaa viraka. Leo nimekuja na kero kubwa inayowasumbua wengi, hasa mabachelor...
1 Reactions
9 Replies
728 Views
Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani. Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakuu, Rwanda ni nchi ndogo ambayo kiuhalisia inapewa jeuri na majirani hasa Tanzania pamoja na Kenya,ni ukweli usiopingika nchi hiyo ndogo kijiografia inategemea bandari kuu mbili ili...
3 Reactions
15 Replies
724 Views
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazindua rasmi Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 toleo la mwaka 2023, Machi 17, 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini...
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Mwaka 2006 - pale Nyumbani Mwanza ilitokea wezi wakaenda kuiba . Baada ya kuiba wakakamatwa na kuulizwa mmeiba wapi na nani huwa mnamuuzia mkisha iba. Wale wezi wakasema ni huwa wakiiba baadhi...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Sijaona jirani wa karibu kama anafuga njiwa. Saa kumi na moja jioni, Mke wangu amerudi kutoka kusuka , ile anafika nyumbani ndio ikawa imeanza kunyesha, ndio akakukatana na njia ambaye kama...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini wadau, Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili. Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji bora wa kahawa ya Robusta baada ya aina ya Chama cha Ushirika cha Kilimo cha Wilaya ya Ngara (AMCOS) kushinda tuzo ya Ladha ya Mavuno ya 2025 iliyotolewa na Chama...
3 Reactions
9 Replies
543 Views
Ni mwaka nne mpaka Sasa hatuko naye aliyekuwa raisi wetu mpendwa namba moja hapa Tanzania,watu wa maisha ya chini walimupenda sana.,video hapo chini ni maneno aliyozungumza wakati wa corona.corona...
7 Reactions
34 Replies
980 Views
Wananchi na wakazi wa kata ya Kiomon hususani wanaoishi katika mtaa wa Kiomon tumekua tukipata kadhaa kubwa ya vumbi la Koyla kutoka katika viwanda vinavyozalisha chokaa, hususani kiwanda cha...
1 Reactions
10 Replies
655 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida tarehe 15 Machi, 2025. Mradi huo...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Salaam kwenu wote wana jamvi Haya ni mambo machache kuhusu wilaya/kisiwa cha Ukerewe. Maelezo mafupi UKEREWE ni moja wapo ya wilaya zinazounda mkoa wa Mwanza. Pia ni miongoni mwa wilaya za...
14 Reactions
101 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…