Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baadhi ya waendesha Pikipiki ‘Bodaboda” wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wameandamana wakidai kupinga tabia ya Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo kuwakamata mara kwa mara kuwatoza faini na wengine...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Je, hilo swali ungejibuje? Mimi kwangu kwanza maisha yangekuwa ya maana sana. Ningeishi kitakatifu zaidi. Wekeni majibu yenu tusome!
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini...
3 Reactions
19 Replies
878 Views
Habari za muda huu, ni matumaini yangu mwaka umeanza salama. Bila kupoteza muda, ninaomba kwa wenye ufahamu kuhusu suala langu. Nina friji jipya kabisa la kampuni ya AILYONS, nililinunua mwezi wa...
1 Reactions
10 Replies
881 Views
Wengine wanaweza wakaishia kusema kuwa ukimchungumza sana bata hutamla, lakini acha tu ukweli usemwe! Watanzania wengi bado ni wachafu! Siwakejeli! Nitaanzaje kufanya hivyo na huku na mimi ni...
2 Reactions
8 Replies
420 Views
Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani...
0 Reactions
3 Replies
722 Views
Ndugu Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani hapa Tabora, Mh Magayane sisi wakazi wa hapa tunakuomba udhibiti suala la msongamano wa magari eneo la Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Haters wa utawala wa hayati Nagufuli wakiongozwa na mimi hatuamini kuwa mpaka leo zile bombadier hakuna iliyopata ajali. Manunuzi yake yakionekana kujaa mihemko,tulitarajia misiba ila Mungu ni...
2 Reactions
3 Replies
296 Views
Wafanyabiashara na madreva huko Moto umewaka. Kisa ni export royalty ambayo ilitakiwa wafanye majadiliano mambo yaishe. Wakusikia na asikie. Watu wanawaza mengi juu ya utendaji na watendaji wa...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Mini mart katika Kata ya Mwanga...
14 Reactions
108 Replies
11K Views
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound.. Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi.. ~ SIPENDI...
2 Reactions
74 Replies
2K Views
Huu haukuwa usiku wa kawaida. Katikati ya jiji la Maputo, siku ya Ijumaa ya Oktoba 18 , majira ya usiku unaokaribiana kuwa Jumamosi, kulikuwa na kikao kisichokuwa rasmi katika baa moja jijini...
31 Reactions
76 Replies
5K Views
📖Mhadhara (76)✍️ Anakutumia "Tafadhali Nipigie" nyingi utafikiri amevamiwa. Unatazama salio la kifurushi chako cha kupiga unakuta zimebaki sekunde 60. Ulikuwa una mpango wa kumpigia simu mama yako...
2 Reactions
0 Replies
202 Views
Wakuu Kash Kash karibu na uchaguzi == Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi...
1 Reactions
9 Replies
872 Views
Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda. Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa...
1 Reactions
10 Replies
722 Views
labu tajiri duniani, Real Madrid ya Hispania imesaini Hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mungu mkubwa japokuwa tuition yangu ni majumbani nawatembela watoto wa kishua hapa mtaani. Nilifanya savey mwezi wa 10 mwishoni hapa mtaani, kweli baada ya likizo nikapigiwa na wazazi wanne. So...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba...
23 Reactions
334 Replies
29K Views
Labda kama ni kilimo cha kumpatia chakula chake tu. Lakini kama ni kilimo cha kumpatia hela, asahau "kutoboa" bila mtaji! Kilimo kinajitaji hela! Kilimo kinahitaji uwe umejipanga! Vinginevyo...
0 Reactions
12 Replies
483 Views
Japo inasemekana hali ya usalama siyo nzuri sana Afrika Kusini, bado watu wanamiminika huko kila siku iitwayo leo! Walipokamatwa Wasomalia waliokuwa wakipita Tanzania kinyemela, walisema wanaenda...
1 Reactions
3 Replies
476 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…