Ni makosa kufikiria muda unakwenda.
Muda hauendi. Muda upo mpaka utimilifu wa dahari
Wewe ndiye unayeenda.
Huupotezi muda. Muda hauna mwisho. Unajipoteza mwenyewe.maana una mwisho wako
Ni wewe...
Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na...
ORODHA YA WANUFAIKA WA 'SAMIA SCHOLARSHIP' NGAZI YA SHAHADA YA UMAHIRI YATANGAZWA
Tsh. Milioni 623.2 zatumika kuwafadhili
■Jumla ya wanafunzi 80 wa Shahada za Uzamili katika Taasisi ya Sayansi...
Siku ya Jumatatu, Januari 20, 2025 Rais Samia, alithibitisha kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera. Leo imetoka taarifa kuwa...
Habari wakuu! Najaribu kujaza taarifa kwa lengo la kupata control number kwenye mfumo wa Police loss report bila mafanikio. Kama kuna mtu aliyewahi pata changamoto kama yangu anaweza nishauri...
Huwa sio mpenzi wa siasa tangu mwaka 2010 niliachana na siasa kabisa kwa sababu kadhaa wa kadhaa.
Ni warudishe nyumba kidogo mwaka 2020 Lissu alipokuwa akichuana na JPM kwa watu wa kanda ya ziwa...
Mbali na uhifadhi wa kisasa, Kigoma imeendelea kuwa kitovu cha biashara zinazochangia uchumi wa eneo hili. Soko la vyakula safi limeimarika, likihusisha biashara za ndani na zile za nje ya mkoa...
Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana...
"Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti"
Chanzo: UNESCO
Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka...
Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni
Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025
Zanzibar Mental Health Support Organization...
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Shule ya Msingi Mseta iliyopo wilaya ya Rombo Kata ya Kirwa Keni Kijiji cha Kirwa Imefungwa toka mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi, Shule hii ipo katika Mazingira mazuri na ina majengo ya fedha za...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia...
Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12...
“Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue”
Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa...
Hivi karibuni iliripotiwa taarifa ya zaidi ya Wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, Wilayani Temeke kuathirika kwa kubabuka ngozi, kuumwa macho na wengine kupata changamoto ya mikono katika maeneo...
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na...
Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani.
Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wathamini nchini kupunguza migogoro inayotokana na uthamini kwa kuhakikisha thamani halisi ya ardhi inayofanyiwa...