Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.” — David Icke 2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe. Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆 Na ni mwanamke" Kwa sasa ukikosea...
14 Reactions
21 Replies
1K Views
Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
2 Reactions
4 Replies
396 Views
Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya. Kilimo cha madawa...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa. Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri...
19 Reactions
51 Replies
4K Views
Katika miaka ya 80 na..... Alikuja Dada mmoja pale iliyokuwa inaitwa Radio Tanzania Dar-Es-Salaam alitokea Zanzibar. Huyu Dada alikua na Sauti nzuri mno haswa akisoma taarifa ya Habari, na...
3 Reactions
12 Replies
671 Views
Ukisoma vitabu vya Biblia takatifu vya Warumi 13:8 na Methali 22:7 vyote mtawalia vinasema msiwiwe na mtu chochote na kwamba mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji...sasa nyi wakristo mmepigwa marufuku...
3 Reactions
12 Replies
524 Views
Mwaka huu wa uchaguzi vyama vya siasa vishindane kwa hoja za msingi, CCM wakileta propaganda za kitoto na za kishamba kama za 2005 na 2015 wataaibika sana. Kamati ya CCM ya mipango ya kimedani...
1 Reactions
3 Replies
570 Views
Mfumo wa OLAMS ukiweka verification number kutoka RITA inagoma kabisa. Shida ni ipi!!?
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Hivi ukitaka kuifuta account yako au profile yako kwa Ajira Portal unafanyaje? Kwa sababu nimejaribu kila kitu wap. Nisaidieni.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Barabara ya Nyerere road, reli ya kuelekea Buguruni, kituo cha Treni llala kuelekea Gongolamboto, kuna vikundi mbalimbali vya wezi hasa wa miundombinu ya Shirika la umeme Tanzania TANESCO na...
3 Reactions
14 Replies
713 Views
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama...
18 Reactions
545 Replies
16K Views
Hii siyo hadithi wala story ni mwaka huu tu imetokea kwenye kanisa langu la siku zote. Basi kulikuwa na usimikaji/kuzindua kanisa jipya tulilo changa ma hela kwa miaka kadhaa hadi mwaka huu...
20 Reactions
285 Replies
12K Views
Utabiri wa Matukio Kabla Hayajatokea (Premonition) Katika historia ya mwanadamu, kumekuwa na visa vingi vya watu waliodai kuwa na hisia au ndoto zilizotabiri matukio makubwa kabla hayajatokea...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo. Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million. Na tarehe...
31 Reactions
295 Replies
32K Views
Mara kadhaa tumekuwa tukipata kusikia kauli mbiu nyingi kuwa wanawake wana nguvu na uwezo mkubwa katika jamii. Ni jambo ambalo sikatai na kulikubali kwani linaongeza chachu ya maendeleo ndani ya...
3 Reactions
19 Replies
646 Views
Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
6 Reactions
59 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…