Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu.
Kwa Mara nyingine narudi kwenu wana jf, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali. Nina shahada ya mambo ya uchumi na mahesabu pia. Lakini nipo...
Wote tunafahamu kwenye agano la kale dhambi ya uzinzi ilihesabika mpaka pale mtu alipozini lakini Yesu alijua kuiongeza makali ile sheria kwamba hata kwa kumuangalia mwanamke kwa kumtamani basi...
Waswahili wakitumia fedha na baadaye kujiona wahitaji wanahesabu yale matumizi ni bure ni kama wamepoteza fedha.
Iwe ulihonga, ulinunua pombe na kitimoto, ulinunua midoli, gari, nyumba, ulifungua...
Umuofia kwenu,
Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo.
Mbaya zaidi hana...
Kaka, kuna kitu umeniandikia leo kimenigusa sana, hiyo ishu ya kuwa karibu na marafiki kwamba rafiki yako ndiyo kila kitu, mimi imenikuta na naumia mpaka sasa sijui kwanini siku zote sikushtuka...
KItuo cha polisi Chanika, kimekuwa kikipelekewa malalamiko kila kukicha na viongozi wa Mtaa wa Mvuleni Msongola, Maeneo ya Kitonga
Wananchi wanashindwa kuendelea na shughuli zao. Wanavamiwa na...
Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua...
Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia...
Mimi binafsi naomba kutangaza kuchoshwa na hivi vipasa sauti vya misikiti na makanisa..
Kinachonishangaza na waslamu sijui mmeanza kuwa km walokole miskiti ipo kila baada ya nyumba sita jion...
https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms
Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu.
Kweli muda unakimbia sana.
Mshana Jr
1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.”
— David Icke
2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili...
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe.
Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆
Na ni mwanamke"
Kwa sasa ukikosea...
Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata...
Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni...
Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya.
Kilimo cha madawa...
Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa.
Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri...
Katika miaka ya 80 na..... Alikuja Dada mmoja pale iliyokuwa inaitwa Radio Tanzania Dar-Es-Salaam alitokea Zanzibar.
Huyu Dada alikua na Sauti nzuri mno haswa akisoma taarifa ya Habari, na...
Ukisoma vitabu vya Biblia takatifu vya Warumi 13:8 na Methali 22:7 vyote mtawalia vinasema msiwiwe na mtu chochote na kwamba mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji...sasa nyi wakristo mmepigwa marufuku...