Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Swali fikirishi:Kwanini tigo tu baada ya kubadili jina TTCL bando zilishuka bei ghafla. Siku ile ile tigo wamebadili jina na shareholder wakabadilika kwa baadhi, siku hiyo hiyo TTCL bando...
2 Reactions
10 Replies
656 Views
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba kujua hivi hawa mnaowaita sijui right handman / woman wa Marais duniani huwa wanakuwa 100% well Vetted na Idara za Usalama wa Taifa za nchi? Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa...
4 Reactions
70 Replies
5K Views
Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?? Mwili ndio mwili Yaan unaisha
2 Reactions
7 Replies
397 Views
Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa. ===== 1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Rafiki yetu 2024 ndio anatuaga leo anakwenda zake,tulikuwa nae pamoja na changamoto za hapa pale lkn baadhi yetu hawakupata bahati ya kuwa hai mpaka leo na wengine masaa haya machache yaliyobakia...
6 Reactions
17 Replies
994 Views
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote. Vp kwa upande wako uaonaje hii...
20 Reactions
139 Replies
5K Views
Mbona maji umejua faida yake na ndo maana unayanywa Kwa bidii na chakula bora una jitahidi kuupatia mwili wako lakini kwanini nguzo moja ya afya bora unaipotezea? Nayo ni kufanya mazoezi walau ya...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kusikia kesi za watu wanaojiua, ama kwa kunywa sumu, kwa kujinyonga, kwa kujipiga risasi au kwa kujitupa chini kutoka ghorofani. Wanaofanya hivyo huwa wanafikiri kwamba wakijiua...
3 Reactions
15 Replies
937 Views
Soma vizuri hasa huko chini kuna ujumbe wako. Mungu husimamia neno lake. Mungu ni mwaminifu, hadanganyi wala hadanganywi. Ukiomba kwake usipopata basi usikae kimya ukaanza kusema Mungu hajibu...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki. Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora. Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa...
32 Reactions
75 Replies
4K Views
Mwanaume kama unajitambua usioe.Kataa ndoa tunakusanua kimbia usioe.Ni mara elfu saba mara sabini uzalishe utunze ila kamwe usioeeeeeeee!!!!! Usioe mwanamke aliyesoma,kimbia usioe utajuta.Wenzako...
38 Reactions
250 Replies
7K Views
Leo katika mchezo wa mwisho wa kombe la FA mwamuzi alisimamisha mchezo kwa dakika kadhaa ili kuruhusu mchezaji wa Manchester United Noussair Mazraoui aweze kufuturu. My Take : Dunia ingekuwa...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wakuu Nataka Kununua pingu kwa ajili ya kujilinda, Najua kwa raia wa kawaida nchini kwetu hapa si kosa kisheria kumiliki pingu, Hata hivyo polisi wanasema hakuna sheria inayokataza raia...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wakuu Mim huwa naota ndoto nyingi ila hii yajuzi nimeona niitilie manani kidogo maana mpaka leo sijapata majibu Mimi naishi hapa hom na mam lakn kwasas anaumwa umwa kdg, mzee...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi imetajwa...
1 Reactions
3 Replies
918 Views
Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…