1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission.
2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha...
Habari wadau
Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia.
Familia imeuza mali zao...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake.
Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema...
Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition"
Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya.
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana...
Wadau wa Jamiiforums, tujadiliane kwa uchungu!
Ndugu zangu, Afrika inalia, Tanzania inahenyesha! Tumepata uhuru wa bendera, lakini je, tunamiliki ardhi yetu? Je, tunafaidika na rasilimali zetu...
Ni muda muafaka sasa wa kuachana na soka la bongo na kurejea kwenye soka la Ulaya ( EPL, La Liga etc)
Miaka ya tisini soka la bongo lilikuwa on fire.
Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa Simba na...
USARE; MBINU YA KUTAWALA NCHI NA DUNIA.
Na, Robert Heriel
Kwa maana nguvu ya utawala, mafanikio, mamlaka na ushindi waijuayo ni wachache. Hao ndio wenye kuheshimika, kutukuzwa na hata kuabudiwa...
Kuna sumu kali sana baina ya mwanamke na mwanamme kwenye jamii ambayo inahitajika kuondolewa kwa faida ya vizazi vijavyo.
Angalia matukio ya kikatili yanayofanyika. Kule Mwanza jamaa kampiga...
Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe.
Swali langu. Kama mechi...
Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF
Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza.
Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa...
Katika uzi huu tupia dondoo mbalimbali za kiusalama za kuzingatia katika mazingira ya nyumbani.
- Usilale na mitungi ya gesi ndani, tafuta sehemu nje ya nyumba uweke huko.
-Usiache nyaya za...
Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Bi. Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki dunia Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, anakoishi na familia yake, unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti...
Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na baba yake mzazi hadi kufariki dunia.
Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.
Mwenyekiti wa mtaa wa...
Hali ya barabara hii, kwa kweli ni aibu.
Miaka nenda miaka rudi hakuna anayeliona hili. Tuna viwanda vikubwa katika barabara hii ya Kilwa kuanzia Mbagala kokoto barabara haifaii aibu, kila...
Nilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu.
Sasa hawa...
Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako?
Kama atajisikia kukupa...