Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu...
Kulingana na baadhi ya Wanyaruanda kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kigali kipo hakipo Mwanza na kipo Mwanza hakipo Kigali.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki...
Uenezaji wa Injili
Injili ni Nini
Neno injili limetokana na neno la Kigiriki “euaggelion” lenye maana ya Habari Njema. Hivyo, injili maana yake ni Habari Njema. Katika biblia, injili maana yake...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuanza kulipa Mafao kwa kutumia utaratibu wa Kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya...
Wakuu
Tumekuwa tukifuga sana wanyama majumbani mwetu kwa miaka mingi hasa jamii za kiafrika.
Ingawaje tumekuwa tukiwatendea unyama uhuni wanyama tuwafugao.
Hapa nitaeleza kwa ufupi niliyoyajua na...
JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda...
Utapeli wao ni hivi
Mimi niliweka kiasi cha shilingi laki mbili kwa mwezi mmoja katika timiza akiba yao, na wao walisema mteja atakayeweka pesa ndani ya mwezi mmoja bila kutoa basi atapata...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa...
Nimetembea karibia mikoa yote Tanzania,hali ni ile ile,ukosefu wa mvua.
Mikoa yenye mvua za wastani nchini ni Dar,Kigoma,Kagera,pamoja na Lukwa,kingine ni tia maji tia maji tu.
Kwa upande wa...
Hivi ni baadhi ya vitu vilishawai kufanya nikajua kabisa hizi ni stress zinanisumbua, na wewe utaongeza ya kwako hapo chini kwenye comments:
1. Nilikuwa naongea na simu, mara ghafla nikaanza...
Dunia yenye vita, Dunia yenye kila aina ya majanga ya asili(tsunami, tetemeko n.k),Dunia yenye vichaa, Dunia yenye ukatili wa kila namna, Dunia yenye vipofu, Dunia yenye ajali, Dunia inayobagua...
Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali...
Kwamba LBL ilikua inahamisha hizo Pesa?.
Kwamba hizo Pesa zipo kwenye akaunti za LBL lakini BRELA wameamua kuzifuta Kampuni hizo ,Ili Sasa wao ndio wazishikilie hizo Pesa?
Tunashuhudia harakati na jithada za kumwezesha mwanamke duniani kote huku Tanzania ikiwemo. Sasa tunashuhudia athari chanya na hasi za kampeni ya kumwezesha mwanamke katika nyanja mbalimbali...
Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu.
Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi.
Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi...
Mpaka sasa usajili wa nyota wa kimataifa wa Ghana na Singida Black Stars Jonathan Sowah ndio umelipa kwa asilimia kubwa zaidi,Jonathan Sowah amecheza michezo sita [7] amefunga magoli [7] hii...
Poleni kwa mfungo wa ramadhan na kwaresma, safari hii swaumu zimeongozana, sasa ndg zangu nina swali naomba tulijadili kwa mapana yake:
Ni hivi kila ifikapo mfungo wa ramadhan taasisi mbalimbali...
WANAWAKE WANAWEZA, TANROADS YAHIMIZA HAKI, USAWA NA UWEZESHAJI KATIKA UHANDISI
Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Motta Kyando, ameonesha furaha yake...
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo Machi 6, 2025 amezungumza na wanawake katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
Hellow!
Katika Taasisi mbalimbali zitoazo huduma za kibenki na Taasisi zingine za Serikali na binafsi, watumishi huvaa vitambulisho shingoni vyenye Majina Yao Ili kumpa nafasi mteja Kutoa...