Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wameanzisha kituo cha umahiri (Centre of Excellence) cha usalama barabarani, hatua...
2 Reactions
4 Replies
510 Views
Afrika imegeuzwa kuwa ghala la mataifa ya nje. Madini yanachimbwa, misitu inakatwa, wanyama wanauzwa kama burudani kwa watalii, mito na maziwa yanavuliwa mpaka hakuna cha kuvua tena, lakini...
4 Reactions
2 Replies
346 Views
Anonymous
Habari wanajamvi wote wa Jamii Forums, Naomba kushea nao maumivu waliyonayo baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya BAndari Tanzania (TPA) ambao walikutwa na kadhia ya kusimamishwa kazi kwa...
2 Reactions
6 Replies
618 Views
Amewataka waislamu wawajari
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Linapo kuja swala la MAMA hauwezi ukasema unaimani/una matumaini nae, kitendo hicho kinakuwa sio sawa kwasababu unakua hauna hakika nae... Na wala haitakiwi umuelewe kwasababu inatafsirika kama...
2 Reactions
2 Replies
213 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana baada ya uwepo wa taarifa ya kuhamasisha maandamano inayotajwa kutolewa na Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA)...
1 Reactions
2 Replies
353 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mwanamke ni mbegu, tunu, chachu, faraja, dira, mbunifu na shujaa katika familia na katika kuongoza taifa kwa ujumla endapo akipewa nafasi...
3 Reactions
6 Replies
459 Views
Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja? Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata...
1 Reactions
1 Replies
311 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanawasaidia vikundi mbalimbali ili wajue namna bora ya kutimiza vigezo vya kupata mkopo wa aslimia 10 unaotolewa...
1 Reactions
2 Replies
377 Views
Hebu mtazame mama huyu kutoka kitongoji cha Luami, wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Tangu anazaliwa mpaka anakua mtu mzima anashuhudia wanawake kama yeye wakitembea umbali wa kilomita 5...
2 Reactions
3 Replies
242 Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa rai juu umuhimu wa nchi za Afrika kushirikiana na kuibua Wagunduzi wake ili kuzalisha teknolojia yake badala ya kuendelea kuwa tegemezi. Dkt...
1 Reactions
3 Replies
260 Views
Nchi za Africa kw High income, Upper Middle income, lower middle income na low income
2 Reactions
3 Replies
354 Views
Ni muhimu kuthibitisha kila picha unazokutana nazo mtandaoni zikihusishwa na matukio tofautitofauti ili kupata uhalisia kabla ya kuendelea kuwasambazia wengine. Kumbuka unapofanya uhakiki wa...
3 Reactions
4 Replies
587 Views
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametoa kiasi cha fedha shilingi milioni 10 kusaidia kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Majengo, Kata ya Ilenza, ambayo ujenzi wake...
1 Reactions
4 Replies
468 Views
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka amezindua utoaji wa Huduma za Afya kwenye Kituo kipya cha Afya cha Kata ya Makojo (vijiji vya Chimati, Chitare na Makojo) Jimbo la Musoma Vijijini...
1 Reactions
3 Replies
333 Views
Huyu mwenzenu ameshasema "Count me out", amesema yeye kubeba zege, kulima bado sana, hayo tuachiwe wanaume. Kumbuka kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kwa Wanawake na Wasichana Wote. Usawa. Haki na...
4 Reactions
14 Replies
456 Views
1. Tumesikia na kushuhudia timu za Simba naa Yanga zikipigwa fainj na TFF kwa wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta eti kwa kisingizio chaa kuukwepa uchawi. Pia viongozi na mashabiki...
4 Reactions
10 Replies
712 Views
Wakuu, Akiwa kwenye maashimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake, Rais Samia amesema kuwa pamoja na harakati za usawa baina ya mwanamke na mwanaume zinazoendelea lakini huwa kuna mambo hayana usawa
0 Reactions
3 Replies
613 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amekipongeza Chuo cha Uhasibu Arusha pamoja na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma...
1 Reactions
2 Replies
364 Views
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya...
1 Reactions
4 Replies
498 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…