WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma.
Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na...
Tarehe 17 may,2025. Kuna mwananchi mmoja kata ya Reha,Kijiji Cha Nessae wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro alichomwa moto na mwanachi.
Jeshi la polisi lipo kimya na tunazo Taarifa kua wanataka...
Habari? Katika harakร ti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza...
Wazee habarini.
Aisee kwa wale waliokuwa wanatangaza matangazo kupitia facebook,google,toka wafanye mabadiriko yao mambo yamegeuka na kuwa magumu sana.
Yani unatangaza hupati matokeo...
Mimi ni mwalimu wa Halmashauri ya wilaya ya Kasulu DC , Kumekuwepo na sintofahamu kuhusu pesa za likizo za walimu katika Halmashauri ya wilaya ya Kasulu, unaweza kuomba likizo ya malipo mwezi wa...
Habari,
Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi...
DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya.
PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya...
Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti.
Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli.
Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia...
Hivi utajisikiaje ukiwa umepanda Ndege halafu unasimama kama kwenye mwendokasi freshi sio!!
Shirika moja nchini Ireland linaitwa Rynair limeleta safari za ndege za gharama nafuu kwa kuweza...
Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.
Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
Enzi zetu kupata kazi kama umesoma haikuwa '' a big deal''...sasa watu wengi walikuwa na maringo ya kuchagua mikoa ya kufanya kazi....kuna baadhi ya maeneo mtu akipangwa na kazi anaacha kabisa...
Tutakumbuka siku chache zilizopita ilisambaa barua iliyoashiria chuki, ubaguzi wa Kidini wa watendaji wa Serikali (Tume ya utumishi wa walimu - Muleba Kagera) kwa kukataa kumpatia barua ya...
Huyu Mkenya anamiliki pori lililopo karibu raia ambapo Kwa mbele ya Hilo pori shule ya West Gate Secondary ya wanawake, nyuma ya shule hiyo kuna pori kubwa linalofuga wezi na majambazi...
Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja...