Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa...
Katika moyo wa Afrika Mashariki lipo ziwa kubwa, lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa mamilioni ya watu wanaolizunguka – Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hilo, ambalo kwa...
Si tumeshapata uhuru au?! Sasa kwanini ziwa letu adhimu tuliite jina la kimalkia cha ajabu ajabu hata sijui kimetokea wapi! Kwanza ni fahari gani tunayoiona kwa kufanya hivi?! Kwa nnavyoelewa mimi...
Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani...
Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) leo Mei, 31, 2025 amewaongoza mamia ya Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo...
Mafuta haya ya nazi ya MINARA yanayotengenezwa Mombasa nchini Kenya ni mafuta ya asili ya nazi kutoka mwambao wa pwani ya Afrika mashariki, Mombasa.
Haya mafuta niliwahi kuleta dukani kwangu...
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri...
Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular.
Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?
Kwanini unavaa nguo...
Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu...
Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale...
Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada...
Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, akisaini kitabu cha maombolezo kwa heshima ya aliyekuwa Daktari Bingwa wa Radiolojia...
Mtu kalipia zaidi ya miezi 2 huu unaenda wa tatu ila hakuna huduma, majibu mnayonipa ni ya hovyo huduma kwa wateja ni ya ovyo umeme kufungiwa nyumbani kwake mpaka anyooshe mkono au?
Kuna watu...
Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!...
Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa...
https://youtube.com/live/YybY9DT4-As?feature=share
https://www.youtube.com/watch?v=sS8BGd_1yRA&pp=ygUKbWFlbGV6byB0dg%3D%3D
Leo Mei 30, 2025 ni Siku ya pili ya Mkutano wa Afrika wa Utawala wa...
●Maulid Kitenge, Shaffih Dauda na DJ Joozy wapata sehemu ya Uzoefu katika Maisha kwa kwenda Munich Kwa Hisani ya Kampeni ya Heineken ya "Cheers to the Hardcore Fans"
Dar es Salaam, Tanzania...
Habari,
Stendi ya Mbezi Chini kumekuwa kero kiukweli, sio magari au watembea kwa miguu yaani wafanyabiashara wamepanga bidhaa zao hadi kwenye barabara kabisa. Wengine wameegesha kabisa mabanda...
Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi...