Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki wiki ya Utumishi wa Umma inayofanyika katika Kiwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.
Huduma zimeanza kutolewa leo Juni 16, 2025...
Kwa sababu ya umaskini, kuna watu walizika imani zao toka moyoni..
Kwa sababu ya hali duni ya maisha, wapo waliokimbiia familia zinazowahitaji..
Kwa sababu ya upofu wa fikra, wapo waliotoa...
Mimi ni mwislamu na ni mkimya sana,nasali na sijioneshi kabisa na mara nyingi navaa vizuri sana napoenda kusali,mara chache sana huwa navaa kanzu,nashiriki mikutano ya waislamu wenzangu lakini sio...
Nitaendelea kila siku kuwasema Waandishi wa Habari baadhi wa Tanzania hadi pale mtakapobadilika kwani mlio wengi ndiyo mnaifanya hii ' Tasnia ' inadharaulika na kuonekana ni ya ' hovyo hovyo '...
Barabara ya Moshi-Arusha magari hayatembei kuanzia Kia mpaka Arusha Mjini.
Haijulikani changamoto ni nin hasa na wale wa kutoka moshi kwenda arusha wametanua njia nzima na wale wa kutoka arusha...
Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake .
Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu .
Alinifanya nipende kusikiliza...
Jamii za sisi binadam ni watu wa ajabu kabisa. Unashangaa mtu anasukuma IST au Volti. Anapaki msikitini. Mwingine anaishi kwenye nyumba yake safi na ameshanunua gari anamtoto mmoja. Wewe...
Wasalaam ndugu.
Sina kona kona nyingi cha msingi naomba kuelimishwa kwanini chama tawala na serikali yake hawataki tume huru ya uchaguzi?
Juzi kati chama hicho kilitoa taarifa kuwa kina jumla ya...
Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za...
Wazazi wa mwanafunzi Mhoja Maduhu wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwasamba ya mkoani Simiyu wameomba uchunguzi ufanyike juu ya kifo cha mtoto wao kwa madai ya kuwa kifo chake...
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora...
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.
Kwanza naipongeza serikali yetu...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia...
Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu
Sielewi aiseee hii Softness...
Unfortunate deni la Taifa linaongezeka. Hili deni limeongezekaje huku makusanyo ya ndani yameongezeka?
Jibu watasema miradi imeongezeka.
Kwanini miradi isiongezwe kwa kutumia pesa za makusanyo...
CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu...
Katika sauti ya kimya ya moyo wetu, kuna wito usioonekana lakini unaosikika kwa kila mtu anayejitafakari , wito wa kutambua zawadi ya maisha, zawadi adimu isiyopimika kwa dhahabu wala dhahabu...
Mhu 7:5-6 SUV
[5] Heri kusikia laumu ya wenye hekima, Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu; [6] Maana kama mlio wa miiba chini ya sufuria, Ndivyo kilivyo kicheko cha mpumbavu. Hayo nayo ni...
Salamu wana JF
Sitapoteza muda wenu bali nitafanya rejea fupi kwa yale yaliyotokea miezi michache iliyopota kule Ngorongoro tulishuhudia baadhi ya vijiji vikifutwa na watu kuhamishwa.
Lile...
Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango.
Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba...