Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msaada wenu tafadhali! 1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba? 2. Nauli yake ni shilingi ngapi? Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani. Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi. hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Najiuliza swali hili, lakini jibu silipati.
2 Reactions
14 Replies
498 Views
Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali. Sasa hapa kwetu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hakuna ushahidi wa kisayansi wa moja kwa moja unaosema kuwa “wanyama wakali hawawezi kumdhuru watoto wadogo kwa sababu ya harufu yao.” Lakini kuna nadharia na uchunguzi wa kitabia unaojaribu...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika utafutaji wangu nmejikuta nikienda kwa waganga mara kadhaa. Kuna mganga mmoja niliona amenisaidia jambo fulani nikatokea kumwamini. Kwa miezi mitatu mfululizo biashara zangu zilikua...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Tafadhari mi si wa mbeya Angalia takwimu hizi Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion) Mwanza: 7.2% (13.5 trillion) Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion) Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion) Arusha: 4.7% (Sh8.9...
1 Reactions
14 Replies
819 Views
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na...
0 Reactions
15 Replies
731 Views
Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na...
3 Reactions
16 Replies
654 Views
Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life. Kwa...
31 Reactions
305 Replies
9K Views
Hakuna kipindi kigumu kwenye maisha ya mwanadamu kama muongo wa tatu wa maisha yaani kati ya miaka 20 mpaka 30. Huu ni wakati ambao una changamoto nyingi sana za maisha na ni wakati ambao...
25 Reactions
53 Replies
11K Views
Huyu jamaa kajibu hoja za machawa dhidi ya wakosoaji wa watawala? 👇
0 Reactions
1 Replies
230 Views
By Habari Hub Journalist Zanzibar June 19, 2025 Tunguu, Zanzibar – A diverse group of women leaders, political party members, government officers, religious leaders, and journalists gathered at...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Habari ndugu na dada zangu. Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna ulazima mtu yoyote Hadi uchafuke unuke uwe rafu ndio tuone utafutaji umepamba moto? Kuna watu wakiwa katika harakati za kutafuta Pesa wlwanataka Kila mtu ajue. Hawajijali na hiyo ndio...
3 Reactions
5 Replies
377 Views
Watafiti wamethibitisha kuwa hili ni tukio kubwa zaidi la uvujaji wa taarifa kuwahi kutokea baada ya nywila bilioni 16 pamoja na taarifa za watumiaji wa mitandao mbalimbali kuvuja kuanzia Januari...
0 Reactions
2 Replies
610 Views
Hivi kwanini siku hizi wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa oparesheni? Au ni fashion wakuu? ===================================== Wajawazito wanaoishi katika mikoa ya Njombe, Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
625 Views
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na...
13 Reactions
97 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…