Hivi kwanini siku hizi wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa oparesheni? Au ni fashion wakuu?
=====================================
Wajawazito wanaoishi katika mikoa ya Njombe, Dar es Salaam...
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na...
Ofisi za TRA Temeke zote ni jipu la kutumbuka kabisa ninafatilia kuchange tin number location kutoka Temeke kwenda Ilala huu sasa ni mwezi wa tatu tangu tarehe 19/12/2025 mpaka sasa sijapata...
Picha hii ni jalada la toleo la The Economist lililopewa kichwa "The World Ahead 2025" na lilitolewa tarehe 19 Novemba 2024. The Economist hutoa jalada kama hili kila mwaka kuashiria matarajio...
Samsung kutokana na kukimbizana na ushindani sasa wanakuja na mpango kama ulivyo simu za iphone kama ujawa wakala wa IT mwenye sifa zao na ruhusa ndani ya huduma zao basi uwezi kubadilisha...
WanaJF wenzangu msaada plz.nisaidie nashindwa cha kufanya najikuta na stress kama kijana wenu.tokea 2022 nimenyimwa passport kwa mambo ambayo nilishaeleza hapo mwanzo .sasa uhamiaji wanataka...
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81...
Wakuu,
Nimekua nikitafakari sana kuhusu hizi vurugu za wanasiasa pande zote upinzani na CCM, nikisikiliza hoja zao wakijiandaa na uchaguzi mkuu October 2025
Kwa hamu sana nilitamani nisikie...
Siku zote chora mstari wako wa uvumilivu unaokutosha..
Hakikisha hauvukwi, hata na yule anaejua unamuheshimu sana..
Huo ndio utakao amua, uwe Boss wa maisha yako, au mtumwa wa furaha za...
Yesu alipokuwa duniani, nchi aliyokuwa akiishi ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kirumi. Wakati Yesu anazaliwa, Herod the Great, ndiye aliyekuwa Mtawala. Huyo ndiye aliyeamuru watoto wa...
Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayoendeshwa chini ya mwamvuli wa "Mama Samia Legal Aid" imeendelea kuwa msaada muhimu kwa wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, ambapo kwa sasa imefika katika Kata ya...
Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo?
Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then...
Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole.
Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto...
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema...
Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani.
Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa.
Ahsante.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Phillip Besiimire (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic, Manzi Rwegasira (kulia), na Mwanzilishi wa msafara wa Twende Butiama, Gabriel Landa...
NRNE
Wakuu habari za hapo juu.
Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana
Inaonekana...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania
Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania
life expectancy ya bodi...
Habari wanaJF, ninaomba kwenye uzi huu mtume link za nyuzi zote za stori za kweli zilizowahi kubamba hapa JamiiForums
Mfano ile stori ya khumbu ya konda msafi, stori ya dereva Uber na mwanamke...
Tujifunze habari za Wanyama na ndege kutoka kitabu Wanyama na Ndege wa Afrika.
TEMBO
TEMBO au ndovu ndiye aliye mkubwa kuliko wanyama wote wa dunia hii. Anakaa katika makontinenti...