Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa...
19 Reactions
79 Replies
1K Views
Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Nimejifunza ni bora ukatatua shida zako kimyakimya kwa kuchukua mikopo kwenye makampuni au benki. Vinginevyo utawachukia binadamu bure, mtu ulikuwa unaishi naye vizuri ukiwa na shida hata kidogo...
7 Reactions
15 Replies
180 Views
Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
1 Reactions
4 Replies
106 Views
Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Habari wakuu Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata Treni...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya...
3 Reactions
12 Replies
223 Views
Imekuaje watanzia wamekuwa watu wapuuzi na kuupa upuuzi kipaumbele. Kuna haya mashindano ya missgrand. Kuna mambo ya miaka 30 ya bongofleva. Simba na Yanga. Kumfagilia niffer . Na kusahau...
2 Reactions
8 Replies
80 Views
Habari zenu wakuu. Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni...
20 Reactions
267 Replies
2K Views
Kucheza rough kwenye Maisha ni lazima. Muulize baba yako alimlaghai mama yako ukapatikana wewe. Watu wengi wanaonekana wabaya virse versa ni watu wema sana.Ila tu ukweli unawaponza . Dunia...
2 Reactions
6 Replies
89 Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya...
1 Reactions
36 Replies
456 Views
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito. Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja...
14 Reactions
27 Replies
450 Views
Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna...
14 Reactions
31 Replies
565 Views
Aisee toka ni mdiskkave huyu dada nimekuwa addicted to her songs.... Alaf shemeji yenyu yupo nje anafua nguo mm nafanya kaziii zangu online, Halafu in the background zinapigwa ngoma za SZA Oyaa...
2 Reactions
6 Replies
98 Views
Anonymous
Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya...
0 Reactions
6 Replies
677 Views
Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya??? Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku...
6 Reactions
11 Replies
210 Views
Wakuu habari! Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga! Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na...
2 Reactions
5 Replies
89 Views
Je wajua kwamba kuna wakati ukimya wako unaweza kusema zaidi kuliko maneno elfu? Je wajua kwamba kuna maswali ambayo jibu lake linaweza kukupunguzia thamani badala ya kukuongezea? Je wajua kwamba...
2 Reactions
9 Replies
174 Views
Athari za Kimaadili na Kiroho (kupanda mbegu za chuki, kupoteza imani, na udhalilishaji wa utu) na Athari za Kiusalama na Kijamii (utengenezaji wa silaha za mtandao, habari za uongo za kuchafulia...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…