Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa...
6 Reactions
108 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna taarifa nimeiona huko Marekani nimepatwa na maswali Kuna kauli Donald Trump alitoa kama siku 5 nyuma ambayo chama cha upinzani cha Democrats kimemshikia mabango na kusema anatakiwa...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
tumetoka na hesabu tuweke mafuta dege.kufika sheli imefungwa. nini tatizo? mnasabisha timing zinaharibika mtu anatoka na hesabu anafika dege hamfanyi kazi???
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Je, wewe ni matokeo ya mazingira yako, malezi yako, au uchaguzi wako?
0 Reactions
6 Replies
286 Views
Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu. Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia...
2 Reactions
0 Replies
178 Views
Mahakama Kuu ya Zanzibar imewapeleka rumande watuhumiwa sita wanaokabiliwa na tuhuma nzito za mauaji ya Sheikh Jabir Haidar Jabir, tukio lililotikisa jamii ya Zanzibar mwishoni mwa mwezi Mei...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kanisa la Arise & Shine limezindua HEMA KUBWA AFRIKA AFRIKA MASHARIKI. Je ni wa kina nani ni wajumbe wa Baraza la Wadhamini.
0 Reactions
5 Replies
615 Views
Salome Kitomari anakumbusha wajibu wa waandishi wa habari kutoa taarifa Sahihi, pamoja na kupambana dhidi ya Taarifa Potofu kwa kutumia nyenzo za kidijitali zinazosaidia kubainisha Uhalisia wa...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Tuliwekeza kwenye Mama Samia Bond. Wakati wa gawio la awamu ya pili baada ya miezi mitatu mitatu imefika. Tunaisubiri kwa hamu kubwa.
1 Reactions
3 Replies
356 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Safia Jongo ametoa wito kwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kuongeza nguvu na kuboresha hali ya utendaji wa Waandishi wa Habari Mkoani...
1 Reactions
1 Replies
433 Views
Hamjambo? Hivi kama mwanao ana ndiyo ya kuwa mchezaji mpira wa miguu na ukimwona ni kweli ndiyo mchezo anaupenda sana.Unafanyaje, maana ndiyo kwanza ni std 5. Mi binafsi Kila anaponidokezea...
1 Reactions
4 Replies
219 Views
Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana yaani aliwezaje kumsaliti mungu wake? Na mungu wake hakuweza kumfanya chochote kile? Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana
6 Reactions
36 Replies
845 Views
Anonymous
Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili, ******* Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa.. Nilikuwa naomba kufahamishwa majimbo pendwa zaidi kwa Marekani kama ambavyo tuna mikoa inayopendwa zaidi kuliko mingine hapa Tanzania.. Mimi nayafahamu majimbo machache...
2 Reactions
20 Replies
949 Views
Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo...
0 Reactions
2 Replies
339 Views
Nasubiria comments zenu:🤡🤡 Kuna nyakati za maisha yako ukishafikia mambo ya kutafuta attention unaweka pembeni sasa unaangalia namna kujiweka mahala salama ili ukifika 60+ ule michemsho bila...
4 Reactions
6 Replies
354 Views
Watu wasiojulikana wamemteka na kumuua kinyama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Magufuli High School iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la Cuthbert au BIG...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
wakuu Niko salama sijui ninyi huko! Huu ni mjadala unaoendelea huko je ni yapi maoni yako
0 Reactions
7 Replies
431 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya amesema kuelekea katika Uchaguzi Mkuu 2025, taasisi yao imekuwa ikishirikiana na Wadau mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…