Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yesu wa Nazareti hakuwa tu mwalimu wa dini; alikuwa kielelezo cha uhuru wa kiroho na haki ya ndani isiyotetereka mbele ya mamlaka ya kidini na kisiasa. Alisimama mbele ya taasisi zilizojaa...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Mnavyoona Mafundi, Madereva, Wajenzi, Wavuvi, Watoa huduma, n.k. wanavyoingiza kila siku kiasi ambcho kwa hesabu za mwezi kinaweza kuvuka hata mshahara wa mtumishi serikalini lakini hawana...
6 Reactions
11 Replies
844 Views
Kama itatokea mtu mwenye nguvu na ushawishi ndani ya CCM na akaamua kuhamia Chadema kumchallange Mh Samia, itakuwa rahisi zaidi kwa Chadema kuchukua nchi kuliko kumsimamisha Tundu Lisu . Huyu mtu...
0 Reactions
20 Replies
921 Views
Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake. Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa...
39 Reactions
180 Replies
6K Views
Umepatwa na emergence inayohiitaji pesa cash milioni 10 ndani ya lisaa, sio vifaa vya ujenzi vya nyumba unayojenga, Gari, kiwanja, shamba, mzigo wa stoo, n.k. Yaweza kuwa: 1. Tatizo la kiafya...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha,Familia ya Al Saudi ya Saudi ArabiaMaelezo kuhusu taarifa Author,Abdalla Seif Dzungu Nafasi,BBC Swahili X,@SeifDzungu Akiripoti kutokaNairobi Kenya...
6 Reactions
34 Replies
9K Views
Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine...
36 Reactions
42 Replies
3K Views
Nimeitoa fb huko kwakweli sijaelewa kama ni uyoga au sijui nn😂😂 Mshana Jr
1 Reactions
0 Replies
353 Views
Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito...
1 Reactions
0 Replies
240 Views
Habari wadau Wazazi wengi tunaosomesha watoto tutambue zama zimebadilika. Kuepuka hasara na gharama bora kwenda direct kama wahindi. Ukienda kampuni kubwa za ukaguzi wa hesabu hapa Tanzania...
4 Reactions
13 Replies
665 Views
Maisha ya watu wanaishi ng'ambo ya shule ya msingi matossa baada ya kuvuka Maporomoko ya maji wnaishi maisha ya kizamani imagine jiji km Dar watu hao wanaoshea vyombo mtoni, yaani vyombo vyote...
2 Reactions
12 Replies
624 Views
Nimeona katika nyuzi kadhaa, some people show up in comment sections just to say “stupid.” No explanation. No logic. Just a quick jab and scroll. Calling others stupid says more about you than...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau ◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii...
1 Reactions
10 Replies
443 Views
Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
0 Reactions
12 Replies
839 Views
Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi...
2 Reactions
4 Replies
413 Views
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo. Julai 21, 2025, Bagamoyo, Pwani: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt. Dkt. Hussein Mohamed Omar ametembelea Wakala wa Maendeleo ya Uongozi...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Anonymous
Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha...
1 Reactions
6 Replies
851 Views
Mwenyezi Mungu anapokuangalia Bado anaona ndani yako uwezekano mkubwa wa KUWA Bora kuliko ulivyo Sasa. Watu wanaweza kuona mwisho wako utakuwa hivyohivyo, lakini Mungu wako anaona uwezakano...
6 Reactions
5 Replies
274 Views
Mwaka 2004 Safaricom waliingia mikataba na Huawei wawatengenezee system ya kuwawezesha kuwa na billing system walioiita M-Pesa. Huawei waliwazungusha hadi CEO akaenda China akasitisha mkataba...
0 Reactions
4 Replies
513 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…