Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi...
Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na...
Ee Mungu nisamehe kwa sababu kila ninavyosoma Biblia ndo ninakutana na maandishi yenye ukakasi yenye kutia hasira mno. Kwenye KUTOKA 21 tunaona kulikuwa na adhabu ya kifo kwa mtu atakayemuua mtu...
Huko Kijiji cha Milonji Kata ya Lusewa mwanamke aliyejulikana Kwa Jina la Wende Luchagula mwenye umri wa miaka 30 Kabila msukuma, amewachinja watoto watatu wa mke mwenzake wawili ni pacha wa...
Kuwekewa walinzi wengi mpaka wengine na mabunduki kwenye kesi ya mchongo kutoka juu ni wazi kuwa kama angekuwa mtu wa tamaa ya pesa na maisha mazuri basi angekubari.
Wanachofanya kumuwekea ulinzi...
Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu
Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu...
“Tulikuwa tunaishi kana kwamba jua halitaacha kuchomoza… mpaka lilipoacha.”
Utangulizi:
Mwakitosi hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa na hulka ya kupenda mambo ya anga, si kwa upuuzi wa mitandao ya...
Ripoti kutoka Google inaonyesha Kila mwaka Apple anachukua zaidi ya Dola bilioni $50 ili Google search ibakie kwenye browser ya safari kama default search Engine kwenye simu za iphone.
Huu ni...
DAARUL MAARIFA DAY 2025
Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya...
Wakuu,
Hii video imenikumbusha mbali sana enzi za kidumu na mfagio pembeni nimebeba jembe naenda shuleni, wakati wa kupanga mstarini tukianza kuimba utasikia sauti za juu sana tukiimba Mungu...
Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha...
Isa 21:8 SUV
[8] Ndipo akalia kama simba, Ee Bwana, mimi nasimama daima juu ya mnara wakati wa mchana, na kila usiku ninakaa katika zamu ya ulinzi wangu.
Maneno haya yametoka kwa mlinzi ambaye...
Licha ya kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na mashujaa waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, kaburi la Balozi na Luteni Jenerali mstaafu Silas Peter Mayunga limeonekana kuwa...
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) katika kutekeleza majukumu yake ya kuhamasisha Umma matumizi ya chapa ya bidhaa na huduma zinazozalishwa Tanzania, "Made in Tanzania" imeandaa...
Nimesikitika sana leo nimeona nije ku share kidogo JF, Wazazi nimewakatia Bima NHIF Standard, shida kila wakienda kutibiwa naambiwa wamekosa dawa wakanunue dawa Pharmacy za nje, nawatumia hela...
Kwa Mwaka wa tatu sasa mtawalia sisi wakazi wa Makongo na Makongo Juu hadi Goba, barabara inayoenda hadi mzunguko wa GOBA CENTRE tumelalamika sana kwenu kwa barabara yetu kukosa daladala.
Ahadi...
Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao.
Pia...
hivi unajua nchi za afrika zinatengeneza simu ? yani tunazungumzia simu za smartphone!! Naam Kuna nchi nyingi TU zilizopo kwenye bara la Africa zinatengeneza na kusambaza simu za smartphone...
Madereva na Makondakta wa mabasi kuweni makini mkikuta foleni ya Magari mida ya usiku maeneo ya MKAMBARANI MOROGORO. Kuna vijana Wezi wanafungua mabuti ya mabasi na kuiba mizigo ya Abiria...