Kuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu...
listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle...
Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend...
Wakuu,
Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata...
Chuma ulete ni aina ya uchawi ambao hutumiwa na Wanga au Wachawi kwa lengo la kupata faida ya pesa kutoka katika mauzo ya watu wengine. Uchawi huu ni maarufu sana karibu kila kona ambapo huwa na...
Habari wana JF,
Naomba msaada kwa yeyote aliye wahi kununua au anayefahamu bei za tanks za Kiboko (Polytank) za kuhifadhia maji – hasa zile za ujazo wa 2000 L liters au zaidi.
Nimepitia kurasa...
Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi...
Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina
Embu kila mtu anae...
Mtoto wa Jumanne Maghembe,amekusanya wamama masikini wenye kadi za CCM Wana anawapa 50,000 Kila mmoja hapa Kijiji Cha mgagao kilichopo wilaya ya mwanga !! Anapata wapi fungus fungus kubwa hivyo!?
Msaada waungwana leo ni siku ya tatu nawashwa mikono yangu(kulia na kushoto)
Kwenye viganja vyote na vidole vyote na nafasi iliyopo katikati ya vidole
Hii ni maana gani? Au dalili ya nini kama...
Unapopata changamoto katika maisha iwe ugonjwa,huzuni,msiba,kufilisika,uchungu moyoni,kuchanganyikiwa.
Masikini tu ndio wanaoweza kukusaidia kwa moyo wa kweli.
Kamwe usiende kwa tajiri.
BELIEVE ME
Ipo dhana ya kwamba wajerumani wakati wapokuwa wakikurupushwa na waingereza Tanganyika baadhi ya mali zao walishindwa kuondoka nazo,hivyo inasadikika mali nyingi walidhihifadhi chini ya ardhi kwa...
Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote.
Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni...
Nikiwa Rais kutaanzishwa kilimo kikubwa sana cha alizeti mkoa wa singida na mchikiçhi mkoa wa kigoma
Kutaanzishwa Irrigation scheme kubwa sana ya kilimo cha alizeti na mchikichi mkoa wa singida...
Kwa mtumishi ambae amewahi kukopa kwenye Bank ya stanibac atupe uzoefu.
Nimetuma maombi ya mkopo leo ni wiki ya pili hamna kitu. Kila ukienda majibu hayaridhi.
Je ndo kusema hawana pesa ndio...
Hali ya kimaisha yaani changamoto hasa kiuchumi huweza kukukomaza ukaonekana mzee kuliko watu umri au rika lako. Si ajabu wakawa wanakushangaa.
Ugonjwa pia huweza kukufanya hivyo.
Si haba hata...
Moja kati ya program nzuri ya kuitumia kwenye Kompyuta ni blender, ni software maarufu ambayo watu wengi wanatumia kuweza kuediti video Mbalimbali za 3D animation zenye ubora wa hali ya juu kwa...
Shalom,
Ndugu zangu January Makamba na Nape Nnauye kwa niaba yangu mimi na wenzangu wengine na wanachama wa CCM, sisi baadhi yetu bado tunawapenda na tuna imani kubwa nanyi na mioyo yetu bado...
Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity
Intentional cold shower in the morning
A glass of hot water before sunrise...