Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yani watu walio kua wana fikirika kama wapo waokoe jahazi kumbe ndio hao hao super wapigaji AKA shamba la bibi ..... Over and Out
3 Reactions
15 Replies
689 Views
Mwanao ni hazina ya thamani kuliko vitu vyote ulivyonavyo katika huu ulimwengu wa kimwili. Ukimlea kwa maarifa, atakuletea baraka maishani. Lakini ukimlea kwa uoga, kwa kumficha ukweli, na kwa...
4 Reactions
7 Replies
661 Views
The future is very interesting gr8 sci-fi inventions are made imagine nowadays people are having AI companion !
1 Reactions
2 Replies
209 Views
Na Einstein Thought Imewahi kukutana na maelezo kama vile "Ninakupenda kutoka moyoni mwangu", au "moyo wangu umejawa na mapenzi kwaajili yako" au labda " Ninakupenda kutoka ndani kabisa ya...
1 Reactions
5 Replies
494 Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotafuta kura kwa kukosoa mifumo ya kilimo ikiwemo mfumo wa pamba, BBT (Building a Better Tomorrow) na stakabadhi ghalani...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Neuro-Linguistic Programming (NLP) ni mbinu ya mawasiliano, maendeleo ya binafsi, na tiba ya kisaikolojia iliyoanzishwa miaka ya 1970. Inagawanyika kwenye vipengele 3 vya msingi: 1...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
Salaam,kwa sasa uwekaji wa NGUZO hapa Dar umeishakuwa kero yaani zinaharibu show ya jiji,kwanini makampuni yenye hizo nguzo yasishirikiane kushare nguzo moja ibebe waya zao zote? Mnaosimamia hili...
2 Reactions
5 Replies
415 Views
Kwa asili yetu waafrika wengi baba anafaa zaidi kwenye mijumuiko inayohitaji maamuzi na kuonekana kama kichwa mfano kwenye vikao, misiba, sherehe, kuitetea familia kwenye hatari, n.k. Mama ndie...
1 Reactions
20 Replies
952 Views
Tanzania imeibuka mshindi wa pili katika maonesho ya kimataifa ya 97 ya kilimo na biashara yaliyofanyika Lusaka, Zambia kuanzia tarehe 29 Julai hadi 4 Agosti 2025. Tanzania imetangazwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU...
4 Reactions
32 Replies
971 Views
Dodoma, Agosti 2025 โ€“ Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha...
0 Reactions
1 Replies
422 Views
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Bw. Said Idd (katikati) akielezea kuhusu huduma za Yas na Mixx kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (kulia) katika maonyesho ya NaneNane...
0 Reactions
2 Replies
454 Views
Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
3 Reactions
12 Replies
653 Views
Wakuu! Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
0 Reactions
24 Replies
762 Views
Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300, Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi, Kuna shida gani? Je, inadharura? Jamiicheki tusaidieni tujue.
0 Reactions
10 Replies
706 Views
India na UK hutumia mfumo wa bunge (Parliamentary System) Katika mfumo huu, Waziri Mkuu ndiye kiongozi mkuu wa serikali na huwa na madaraka makubwa ya kiutendaji kuliko Rais (ikiwa yupo)...
2 Reactions
17 Replies
982 Views
Kumekuwa na mwendelezo wa watu kushangilia pale anapofariki kiongozi. Mwendelezo huo umeonekana kwa Job Ndugai, aliyewahi kuwa spika wa bunge la Tanzania. Sababu kuu ni siasa peke yake au kuna...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Mimi ni yatima wa wazazi wote wawili. Tangu tarehe 16 Julai 2025 nimekuwa nikijaribu kuomba mkopo wa elimu ya juu (ngazi ya shahada) kupitia mfumo wa HESLB, bila mafanikio hadi sasa ninapoandika...
0 Reactions
8 Replies
795 Views
Wakuu wajuzi wa mambo hawa wanamgambo wanasemekana ni waasi na wako oppose na jeshi la serikali ila kwenye tovuti Yao wanajinasibu wanafanya operation zao under chief military na pia Wana support...
1 Reactions
3 Replies
305 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ