Habari ndiyo hiyo.
Ile akili iliyotaka kujenga bandari Bagamoyo imetuma tena ujenzi bandari Kizimkazi.
Lengo na nia ni kujiimarisha kiuchumi kwa watawala. Watoto wa Nyerere na Magufuli nadhani...
Wale wajenzi na mafundi, tafadhali tusaidiane katika hili.
Mara nyingi huwa mnapanda juu mkibeba mabegi na waya zetu za wiring. Swali langu ni: kule juu huwa mnafanyia nini na hayo mabegi? Na je...
Wanabodi wasalaam.
Kibali changu cha uhamisho kimetoka japo kimekosewa kwenye kada.
Mimi niko idara ya afya na kibali changu kimetoka kikiwa kinani'refer Kama mwalimu.
Nifanyeje? Msaada wanandugu.
Binafsi, nimekaa na kukumbuka harakati za kimaisha na jinsi nilivyokuwa milionea na kufirisika na kuwa Kapuku.
Nilikuwa nina duka la Pembejeo za Kilimo pale Makambako nikiuza pembejeo za kilimo...
Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari?
Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu.
Ni me...
Miaka ya elfu 2 kumi kulikuwaga na mzee mmoja mtaani kwetu nyumbani kwake alikuwa ana banda ameajiri vijana wanafundisha English kwa watu mbalimbali na matangazo yake y alikuwa ya kubandika kwenye...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya...
Habari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia.
Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze...
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma M. Abdallah, aliwasilisha mada kwa Wenyeviti wa Bodi na Wakurugenzi Wakuu wa Taasisi za Umma.
Katika wasilisho lake, Bi. Abdallah aliwataka...
Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato...
Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu...
๐ ๐ธ๐๐ฟ๐๐ด๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ก๐ผ๐ธ๐ถ๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ผ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ถ ๐ต๐ฎ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ถ "๐ต๐ฎ๐๐๐ท๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ผ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ฒ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ฎ๐๐ฎ ๐น๐ฎ๐ธ๐ถ๐ป๐ถ ๐๐๐บ๐ฒ๐ฝ๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ"
Inawezekana ikawa story mbaya kwa wale wapenzi wa vifaa vya Nokia ulimwenguni baada ya Ceo kuongea...
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi?
Ayubu 11:7
Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama...
Inawezekana umeshtuka kidogo ๐, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.
Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka...
Ila jiwe alikua kauzu kinoma ๐๐๐
Mwanae Jesca alimnunulia IST second hand,, Watoto wenzake huku wanaPush Rolls-Royce Cullinan series II ya $ 400k.
#mdau kutoka mtandao wa X
Chini ya uongozi wake Wasanii wa nje waliopata kutumbuiza(show) nchini Tanzania nao wameongezeka kutoka wasanii 75 hadi wasanii 623 ikiwa ni tofauti ya wasanii 548 ambao ni sawa na 730% hili...