Mnamo tarehe 22 Agosti 2025, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ilitoa uamuzi katika Shauri la Kiraia Na. 278/01 la mwaka 2023 kuhusu suala tata la umiliki wa ardhi na raia wa kigeni. Mahakama iliamua...
Kijana Mkenya mwenye umri wa miaka 26 aliyefahamika kwa jina la, Seth Mwabe, amekamatwa na Makechero (Askari) kitengo maalum nchini humo akidaiwa kuingilia mfumo wa kampuni kubwa ya kamari...
1: RAIS
2: WAZIRI MKUU
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO
4: SPEAKER WA BUNGE
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO
6: MKUU WA T.I.S.S
7: IGP
8: WAZIRI WA FEDHA
9: MSHAURI WA RAIS
10: WAZIRI...
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar...
Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo.
Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa?
Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa...
Baadhi ya viongozi, wanachama na wananchi wakiwa katika Viwanja vya Biafra, Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kusikiliza sera kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Ukombozi wa Umma...
Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi wetu wakubwa, wanasiasa, wakurugenzi, mameneja wa mashirika makubwa ya umma na hata vyombo vya ulinzi na...
Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo.
Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na...
Nchi limeshajichokea kama karai la muuza chipsi wa tandika. Yaan mwaka 2025 mtu anaahidi watato wa darasa la tatu watajua kusoma na kuandika😁?
Mwingine anasema atazuia vitanda 6x6. Unaangalia...
Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu.
Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni...
Habari ndugu..
Kama nilivyoeleza hapo juu, hili tatizo lilinianza mwaka juzi sauti zinaniongelesha na kunisema..
Baadae nikazipuuzia.. zilapotea,
Sasa mwaka huu tatizo limekuwa kubwa mno...
PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza...
Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba.
Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia...
Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kilimo cha kubahatisha kwa wakulima kutokana na mvua zisizo za uhakika, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuchimba visima virefu vya...
Ukiweza kufungua code za namba zako za tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa umetoboa Lifetime. Siri hii niliipata kwenye vitabu vya dini ya wayahudi (Judaism) japo washirikina huitumia pia kwenye...