MWANAUME ANAYESEMA WANAWAKE NI WABAYA NI YULE ALIYESALITI AKILI YAKE. YAANI AMBAYE HAKUTUMIA AKILI YAKE VIZURI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Silaha namba moja ya mwanaume ni Akili. Kwa...
Wakuu habari za wakati huu
Kuna member fulani tulifahamiana kupitia JF, Bahati mbaya Mimi ndo niliweka namba yangu kwenye moja ya thread ya member wa humu JF aliyowahi kupost...
Wasifu wake yeye...
Na Hatibu Shemnyama,
Hisia za kielektroniki ni hisia dhahania zinazojitengeneza katika fikra za mtu kupitia maandishi na taswira zinazoonekana kwenye mitandao ya kijamii.
Watu wengi wameathiriwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amezitaka Taasisi na Mashirika ya Umma kupunguza baadhi ya matumizi na kuelekeza fedha katika kuwajengea uzoefu Vijana...
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za...
ARUSHA, Agosti 28, 2026
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ametoa wiki mbili kwa Wizara ya Mipango na Uwekezaji, Fedha na Kilimo kuandaa mpango wa mafunzo...
Chunya, Mbeya
Wanawake Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, wameonesha mwitikio mkubwa na kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani humo.
Kupitia kliniki hiyo...
NDOTO ZA UTAJIRI
1. 777
-Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7.
2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA.
Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k
3. Kuokota pesa za sarafu za zamani.
4. Unafanya...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma...
Wananchi mkoani Tabora wameendelea kunufaika na Kliniki ya Ardhi Kidijiti kupitia elimu, ushauri na suluhu mbalimbali za masuala ya ardhi zinazotolewa na Mabaraza ya Ardhi.
Msajili Msaidizi wa...
Mwanzilishi mwenza wa Microsoft, Bill Gates, ametoa wito kwa wabunge na vyombo vya sheria nchini Marekani kuweka udhibiti katika maendeleo ya teknolojia ya akili mnemba (Al), akisema teknolojia...
Afisa Mfawidhi wa Hali ya Hewa Mkoa wa Kigoma (RMO), Mugisha Kyaruzi, amesema mvua inayotarajiwa kunyesha katika kipindi kijacho inatajwa kuwa ya kipekee kutokana na ukubwa wake, akieleza kuwa...
TABORA
Wananchi wa Mkoa wa Tabora wameendelea kunufaika na huduma zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, ambapo jumla ya Hati Miliki za Ardhi zaidi ya 200 zimetolewa kwa wananchi wa...
Waziri Mkuu wa Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani wakishuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa makubaliano ya...
Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi...
Serikali imesema imeweka mikakati madhubuti ya kudhibiti unyanyasaji na kulinda haki za Watanzania wanaokwenda kufanya kazi nje ya nchi, hususan katika nchi za Kiarabu, kwa kuimarisha usimamizi wa...
Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa.
Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu...