Siku chache nilileta blames kuhusu Zero Brainer kutopewa nafasi kwenye michuano ya CHAN, ili tumpe nguvu na promo kulitangaza taifa. Kipindi naanza kumfatilia sikujua kama ni Mbongo, nilijua ni...
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia...
Hawa watu wenye afya ni wachache Sana, wengi wamekongoroka vibaya mno!
Leo kuna sehemu nimepita wanasema kuna msafara ulikua unangojewa upite, kwahyo Polisi wakawa wanaondoa bodaboda na magari...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Dellilah Kimambo, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)...
Nianze mimi
Walioleta mafanikio
CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank
NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu...
Nadhani ma IT wa CRDB Leo ndio siku ambayo wameona ugumu wa ajira yao.
Asubuhi leo watu wameamka mamilionea ghafla jamaa wakachomoa betri kwa kukata baadhi ya huduma.
- Mungu aliona aweke mashino mawili ambayo yote yameunganishwa kwenye pipe moja ya juu hivyo shimo moja likiziba jingine litatumika kama dharula.
Mungu akaona kuwa pua inapaswa kuwa na uwezo wa...
Wakuu!
Kuna video hii ina sambaa mitandaoni ikimuonyesha mtoto wa miaka 14 kutoka Don Bosco, Iringa, akifanyiwa ukatili mkubwa na hatimaye kudaiwa kuuawa kwa tuhuma za kuiba parachichi...
Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.
Utakula nini? Kama ndio...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa...
Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye .
Amesema mtu anapataje ujasiri wa...
Ndoto yangu kuwa na moja wapo wa hizi passport za hizi nchi Afghanistan, East Timor, South Sudan, Bangladesh, Yemen, Somalia, Chad, Niger, Mali, CAR, Burundi, Haiti na Nepal.
Yani nitafurahi na...
Watafiti wanadai hii inatokana na mazingira duni "darkie" anapitia. Nigger anasavaivu shida na dhiki anavyokua. Na akizikamata anatafuta attention kwa fujo, dhihaka na madharau.
Wakuu salaam,
Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa...
Huu ni mtazamo wangu:
Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais.
Kwa...
Yaani nafikiria tu nikiiba naweza kesho nikaenda kwa mwenyewe nikamuomba msamaha na akanisamehe. Haya sasa je ukimtoa mtu roho hata ukaenda mbele za mungu kuomba msamaha bado utakuwa hauna amani...
Habarini mabosi! Nitajieleza kama muhusika ili iwe rahisi kueleweka. Mfano, nimezaliwa 2000, cheti cha kuzaliwa kipo,kadi ya kliniki ipo.
Bahati nzuri ama mbaya nikapata fursa ya kazi mwaka...
Habari zenu wakuu hivi ni mikoa IPI yenye wataalamu Wa jadi yaani waganga yaani Nina tatizo kubwa waganga wengine hawawezi kunisaidia zaidi wananilia pesa zangu tu. Shida yangu nahitaji mgaga...