Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi...
0 Reactions
5 Replies
485 Views
Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
16 Reactions
354 Replies
10K Views
Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila...
3 Reactions
23 Replies
826 Views
Kwa Mliotembea sehemu mbalimbali kwa Waganga, Hivi Mshakutana na Mganga Anayeweza kukuambia Shida yako hata kabla Hujamwelezea, Au Akakwambia mambo Yanayokuhusu bila kumwambia?
8 Reactions
163 Replies
15K Views
Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela. Mikopo ya...
15 Reactions
106 Replies
5K Views
Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa...
2 Reactions
2 Replies
431 Views
Hellow wakuu, Hebu tutafakari kidogo, kwa mfano wewe ni Rais wa TZ urais umeupata kutokana na mambo ya Mungu hujawahi kupigiwa kura Halafu unaona wapinzani wako wanahamasisha watu wasipige kura...
1 Reactions
11 Replies
612 Views
GT. JF mamlaka.zinatafuta mchawi ila ukweli ni kwamba JF "tumeonewa ila tumekubali kutii" kama alivyosema melo Why?. 1..Kuhusu picha za ikulu waliopiga siyo JF hata kusambaa hazijaanzia JF hizi...
14 Reactions
45 Replies
2K Views
Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k Mbuga za...
4 Reactions
29 Replies
915 Views
Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM...
2 Reactions
1 Replies
374 Views
Kutoka kwa Wananchi waliokerwa na kunitumia taarifa hii; Huku online kurasa mbalimbali, anayedaiwa kuwa ni Willy Nass na anayejulikana kama msanii wa comedy na content creator wa mitandaoni...
3 Reactions
9 Replies
593 Views
Habari wakuu. Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini...
3 Reactions
6 Replies
659 Views
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umepanga kuwaondoa watumishi wa umma na wapangaji wote wanaodaiwa na wakala huo, iwapo hawatalipa madeni yao ifikapo Septemba 30, 2025. Mtendaji Mkuu wa TBA...
3 Reactions
3 Replies
356 Views
Kutoka CCM hadi ACT WAZALENDO ni maagizo kutoka juu kupitia kwa Zitto Kabwe Walianza tume wakampitisha kuwa mgombea wa kiti cha urais muda kidogo tume wakasema hana sifa wapi na wapi? Mara eti...
4 Reactions
13 Replies
667 Views
Msigwa kaharibu shughuli yote raia wamechukia sana
2 Reactions
4 Replies
462 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu 192 kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa dawa za kulevya, uvuvi haramu na utengenezaji wa pombe haramu aina ya gongo, kutokana na...
1 Reactions
4 Replies
291 Views
Ingekuwa ni zile nchi zilizoendelea bodi nzima na mkurugenzi wa CRDB wangekuwa wameshajiuzulu ila ni kwakuwa haya mambo tunafanyiana masikini basi tu Pesa zinakatwa kwenye akaunti kihoe hae na...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Siku chache nilileta blames kuhusu Zero Brainer kutopewa nafasi kwenye michuano ya CHAN, ili tumpe nguvu na promo kulitangaza taifa. Kipindi naanza kumfatilia sikujua kama ni Mbongo, nilijua ni...
5 Reactions
10 Replies
667 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…