Je mtanzania huyu atafanya yasiyotarajiwa hapo kesho kwenye london marathon?
Kwa anayemfahamu je rekodi yake ya ukimbiaji ikoje?
Alphonce Felix Simbu - Wikipedia
Simbu seeks success in London...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia matukio ya kihalifu Jijini. Kwa ujumla usalama umeimarishwa kwa kiwango cha juu. Tarehe 11 Septemba, 2025...
Kwa muda mrefu sasa, Tanzania imekuwa ikishuhudia matukio yanayoacha maswali mengi miongoni mwa wananchi: matumizi ya nguvu kupitiliza na ukiukwaji wa sheria na kanuni za Jeshi la Polisi.
Katika...
Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la...
Kwenye pitapita zangu za social media nilikuta video inayouliza swali hilo. Nikaanza kuwaza. nimegundua kila nikianza tu kusikia bored nafungua simu, nascroll insta, nasoma nyuzi za huku JF...
Habari.
Namba niulize kitu jamii yetu ya kitanzania imekuwa ikitupa credit kubwa watumishi wa serikali na kuonekana Kama tumetoa kimaisha.
Hali inayopelekea majukumu yote ya kifamilia Kama...
Habari za muda huu wana jf
FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki.
1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA...
Nchi hii yetu ni masikini sana lakini ina gapu kubwa sana kati ya walichonacho na wasiokuanavyo.
Tafadhari wafundisheni watoto wenu kuwa watoto wa vijana wenzenu walio na hali duni sio kwamba...
Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu,
Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu...
Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge azikwa. Jamii, rafiki na ndugu zake Wamzika
====
Dar es Salaam. Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano...
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amechukizwa na kitendo cha Mkandarasi kuchelewesha ukamilishaji wa ujenzi wa Barabara ya kutoka Mnyagala - Mwikang’ombe kwenda Kayenze...
Sijawahi kufika kwenye hizo nchi, lakini naamini nitafanya hivyo muda si mrefu.Lakini kwa stori za hapa JF, wengi wa wadau wanashauri kutokupita Zimbabwe kwa safari za kwenda Afrika Kusini...
"The Principle of Papuchi states that when borrowing increases, prices tend to drop, and vice versa
Katika zama hizi za utandawazi na za gizani kuona principle/ kanuni yoyote yenye manufaa...
Kabla ya uharibifu wa mifumo ya kibenki, kila kitu kilikuwa kikienda vizuri, lakini bank hiyo ikatoa tamko kuwa ilikuwa inaenda kuboresha mifumo yake, wateja wakaombwa wawe watulivu. Mara...
Mimi
1.Tembo-ni wapole, NI wazuri, wanaishi kwa ushirikiano,wanalindana na kupendana, wanapenda wanyama wengine,Wana AKILI na pia wataratibu.
2.Kuku-hasa vifaranga najisikia Raha Sana kushika...
Hello ndugu zangu,
Am back from cell, nilikua sielewi why siwezi reach jf tena then nikagundua baada yakuingia jf Facebook kuwa kuna Barn, then @Tatizo_la_pre_ejaculation akanitonya baada ya...
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.
Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Kama angemaliza miaka 5 ya...
Hivi karibuni, nitakuja na JamiiAI.
JamiiAI ni miongoni mwa project nitakayoifanya itakuwa ni hatua kubwa ya teknolojia kwenye jamii yetu:
Kuunganisha nguvu za sanaa ya akili (Artificial...
Kennesaw,Georgia ni mji mdogo wa kusini Marekani. Harufu ya mikate inayonukia kutoka kwenye tanuri mikate ya Honey suckle Biscuits &bakery,huku kwa mbali sauti ya treni ikisikika
Ni sheria...