Je, mtanzania huyu atafanya yasiyotarajiwa hapo kesho kwenye London Marathon?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Alafu mbinu ya mchezo ni kuhufadhi nguvu. ...last rounds ndio anakuja kwenye top ten then anafunguka anaacha watu midomo wazi
 
tv one live
Hii inayoonyeshwa sasa hiv TV 1 ni Hamburg Marathon ambayo Alphonce sio mshiriki, Yeye atakimbia London Marathon ambayo itaanza muda mchache ujao, huku Hamburg tumewakilishwa na mwanadada jina limenitoka na yeye anafanya vizur pia, ninadhan anaweza kumaliza top 10 kama akiendelea na hii pace aliyonayo sasa hiv.
 
Mimi naona Hamburg Marathon. DStv haina hiyo TV one.

c34fcb103dc17265a6aa08869df307ee.jpg
 
Kama ilivyo kawaida ya TV za bongo hakuna hata moja itakayoonyesha live mashindano hayo muhimuy ambayo tuna kijana tegemeo kabisa tumshangilie hata kwa bluetooth. Matokeo yake wapo radhi kuonyesha live ligi kuu ya uingereza ambapo hakuna hata mbongo mmoja anayetuwakilisha. Akishinda sasa kila kituo kinajichukulia maujiko kumhoji hadi bungeni ataitwa
 
Back
Top Bottom