Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yupi mtu hatari zaidi kati ya yule anayepigana na wewe hapo hapo au kugombana au yule anayehifadhi maumivu yake?
0 Reactions
3 Replies
259 Views
Niaje waungwana Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine...
15 Reactions
89 Replies
3K Views
Kwa mfano kwa Sisi wapenda pombe huwa kula yetu ni ya Kiasi tunamfuata Janabi, sasa Mimi binafsi ukiniamsha asubuhi ukanishtukiza eti kula supu ya kuku hii hapa aisee huwa siwezi. Mimi napenda...
4 Reactions
7 Replies
359 Views
Isa 63:16 SUV [16] Maana wewe ndiwe Baba yetu, ijapokuwa Ibrahimu hatujui, wala Israeli hatukiri; wewe, BWANA, ndiwe Baba yetu, mkombozi wetu tangu milele ndilo jina lako. Tunaweza tusiwe na...
1 Reactions
2 Replies
241 Views
Msiache kuomba mizimu. Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana. Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana. Dini za magharibi ziliundwa kwa...
30 Reactions
129 Replies
7K Views
TAFADHALI SOMA MPAKA MWISHO KWA MSAADA NA KUELEWA ZAIDI Kabla ya kuanza, tunarudi nyuma kwa mwaka wa 2737 KK. Imekuwa ikichunguzwa kwamba marejeo ya kwanza ya moja kwa moja nchini Uchina...
23 Reactions
293 Replies
64K Views
Hii benki ilikimbia na pesa za watu kadhaa...vikiwemo vijisenti vyangu.... Nikaomba ushauri kqa mwanasheria fefenge kwamba tuishtaki benki kuu kwa manake wao ndio the last resort... Yule...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Anonymous
Habari zenu wakuu Suala la kuomba Passport na NIDA ni kama haithaminiwi kabisa kwa wakazi wa mkoa wa Kigoma Passport inathaminiwa zaidi ya NIDA . Mtu unaenda kuomba Passport una NIDA na ya...
1 Reactions
13 Replies
729 Views
Japo ni Jambo zuri ila bodaboda/bajaj/bolt watahujumu kwa Fitna za wazi na Sirini. Tujipe muda
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Wakuu kesho nafunga akaunti yangu ya CRDB aisee hii benki ima wizi wa kiwango cha standard gauge. Wiki iliyopita kuna mtu alinitumia USD 206 kwenye akaunti iliongia 406000 nikaona rate ndogo...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine Mfano sehemu kama posta...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Kafa baada ya kupigwa Risasi 15 ambazo Risasi 13 hazikufua dafu, ila Risasi 2 alizopigwa Shingoni na Jichoni ndizo zimemuua.
8 Reactions
79 Replies
3K Views
Wakuu! Ni mimi tu au nyie mmeona? Hivi sasa Polisi wameendelea kupokea vitu vingi sana, kama magari, kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi, jambo linaibua maswali mengi, kwanini sasa hivi? Je, ni...
4 Reactions
9 Replies
584 Views
Leo naangalia huko nchini Nepal mpaka wananchi kuingia mtaani kuchoma bunge na zile tabia za Nepal ndio zinafanana na nchi yetu. Sasa jana kuna mwanachama wa CCM kafikia hatua ya kutuwekea...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Watoto wawili wa familia moja, Ester Hillary na Eliana Hillary, ambao walikuwa wanafunzi wa shule za msingi na wakazi wa Mtaa wa Ikindwa, Kata ya Mapambano, Manispaa ya Tabora, wamefariki dunia...
1 Reactions
5 Replies
524 Views
Uzi huu ni Kwa ajili ya wanachama wa chama Cha ma jobless pro max, lengo ni kuzungumzia suala fulani la kimawazo au kimaamuzi linalo fanywa na ma jobless. Siku za hivi karibuni nime kuwa niki...
19 Reactions
116 Replies
3K Views
Zamani wabantu wengi wa pwani ya Tanzania ya leo walikiwa ni matrilineal societies. Zamani kwa Wazaramo na watu wengine wa Pwani mtu mwenye wapwa aliheshimika kuliko mwenye watoto. Yaani watoto...
0 Reactions
3 Replies
272 Views
Hivi sasa Tanzania ina miaka Zaidi 60 tokea tupate Independence, ina wasomi mbalimbali na wataalamu kwenye different sectors. kwa mujibu wa sensa ya 2022 umri kati 18-35 ni 77% ya watu wote...
2 Reactions
16 Replies
585 Views
Salamalleikhoom wakuu! Nataka tujadili kuhusu mada au hoja hapa JUU! Biashara zote za bidhaa zinatawaliwa na aina moja ama nyingine za vipimo ili kuhakikisha kwamba MTEJA anauziwa bidhaa husika...
4 Reactions
4 Replies
279 Views
Wakuu, Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa sana ikiwemo kwenye mawasiliano ikiwemo Web 2 ambayo inarahisisha watu kuchangamana na kutoa maoni yao katika mambo kadha wa kadha. Kupitia maendeleo...
0 Reactions
7 Replies
498 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…