Wakazi wa Mnada Mpya, Kata ya Nkuhungu – Dodoma hatuna maji wiki ya 3 sasa
Jamii Forums naomba mtusaidie kufikisha ujumbe huu kwa mamlaka zinazohusika kuhusu shida ya maji ya muda mrefu.
Sisi...
Samahani kwa usumbufu utakaotokea, ila nina jambo la moyoni ambalo nahitaji kulitoa. Kwangu mimi na kwa jamii inayonizunguka, limekuwa likitusumbua sana. Ni kwamba hatuna pa kusemea matatizo yetu...
Kwa zaidi ya wiki tatu hadi nne, wakazi wa maeneo ya Nyegezi, Mkolani, na Buhongwa jijini Mwanza wamekumbwa na uhaba mkubwa wa maji, bila taarifa yoyote rasmi kutoka Idara ya Maji.
Hali ni...
Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk.
Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe...
Ujumbe huu uwafikie mamlaka husika ikiwemo Wizara ya Maji na Serikali Kuu kwa jumla, sisi Wakazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza hasa tunaoishi maeneo ya...
Mpaka sasa balozi polepole anakabia juu mno. Machawa wanaweweseka hawawezi kumjibu wana rukarua.
Nyie machawa wa lumumba.
Polepole ana data/ takwimu mjibuni kwa takwimu siyo viroja vya hoja ...
Fatma Kigondo anayedaiwa kuwatuma watuhumiwa wa kosa la kubaka kwa kundi ametii wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma iliyomtaka kufika mahakamani hapo leo Septemba 5, 2024.
Mahakama hiyo...
Update (Agosti 21, 2024)
Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo
Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa...
Msanii Mkongwe Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro maarufu kama Chidi Benzi ameruhusiwa kurejea uraiani na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya wakishirikiana na Baraza la Sanaa la...
Taharuki kubwa imeibuka Mikocheni jijini Dar es Salaam, baada ya mjane Alice Haule kuvamiwa na watu kwenye nyumba yake aliyoachiwa na marehemu mumewe, Justice Rugaibula kisha kumtoa kwa nguvu...
Miaka mitano nyuma kipindi watumushi wa umma hawapati nyongeza za mishahara, hawapandi madaraja tasisi za kifedha hasa mabenk riba zao zilikuwa kubwa ila tofauti na sasa zamani benki nyingi...
Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa...
NGUVU YA TABIA
Tofauti Kati Ya Tabia Za Maskini Na Tajiri.
Tajiri ni mtu ambaye yuko serious katika maswala ya utafutaji wa pesa na nidhamu ya pesa kwa ujumla.
~Tajiri Yuko serious katika...
Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii...
Kinachoenda kutokea ni kama tumejifungia chumba kimoja na chui halafu tunatumia vibaya risasi zinaelekea kuisha halafu chui bado hajafa, last bullet
Yani kuanzia hapo mwezi wa11 katikat mambo...
*WARAKA WA UAMSHO KWA WAUMINI WOTE WA KANISA LA EAGT TANZANIA*
Nawasalimu wote katika jina la Bwana wa majeshi Yesu Kristo. Ambalo kwa jina hilo, kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri ya...
IMEANDIKWA NA JOHNGERVAS NA KUHARIRIWA NA AI ASSISTANT
SeHEMU I
Jina lake halikuwahi kuonekana kwenye vyombo vya habari. Kwa wengi alikuwa Mwalimu Kito, mwanaume wa umri wa miaka arobaini hivi...
Habari zenu wana jf.
Mimi ni kijana wa kitanzania ndugu yenu wa damu.
Mzaliwa wa mkoa kigoma kwa sasa naishi dar.
Nimemkimbia mke na watoto wangu wawili nilio wazaa mwenyewe, kutokana na ugumu...
Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele
Nenda kwenye nyumba au makazi ambao...
Ukiangilia concept nzima ya dini kwa jicho pana na kiakili bila woga wa kukufuru au kupatilizwa, wakati mwingine unachukia hata kushangaa mbali na kusikitika. Hebu fikiria yafuatayo:
Mosi...